Elections 2010 Lisa M Rockerffeller urge Tanzanians to reject Kikwete a 2nd Term

Status
Not open for further replies.

Mkuu Kama Ishu ya Slaa na Mke wa Watu ndiyo iliyopelekea ( Kwa mujibu wa Greta Thinker wewe) Wamama wajifungulie Chini, watoto wasome chini ya Miti, Watu waishi katika Lindi la Umaskini huku Vigogo na Watoto wao wakikonga Raha katika nchi ya akina Lisa, Vigogo na watoto wao wakisoma na Kutibiwa katika nchi ya akina Lisa basi huna Budi Kuijadili. Lisa anazungumzia mambo ya Msingi ambayo hata sisi kila siku tunalia juu yake, Ubadhirifu uliokithiri wa Viongozi wetu walioamua kujikatia sehemu kubwa ya Keki ya Taifa na Kuitumbua wao pamoja na watoto wao na Vimada wao ( Wengine wanaishi katika Nchi ya Lisa)
 
Anamchukia Mkoloni Huku ana Green Card LoL! Wananchi tusipokuwa makini hawa Masultani wataendela kuneemeka na Kazi za Migongo yetu

Not anymore Dr. NYU,
wengine hapa ndo tunapata joto ya jiwe, wao na familia zao neema tu.
Wanaumbuka taratibuuuu.
 

Mkuuu Asssumme Kwa msisisitozo nasema assume JK kashinda Uchaguzi .Assume tena wewe kama mtu wake wa karibu anakuuliza ebu nishauri nimabie ukweli udhaifu wa serikali yangu iliyopita na udhaifu wa utendaji wangu ulikuwa ni upi ili nirekebishe mambo ? Utamjibu nini ?
 

- Familia ya huyu dada ni ya wezi period ndio maana wakatungiwa Anti Trust Act na shirika lao la Standard Oil kuvunjwa, sasa hivi wamebakishiwa Chase Bank tu, sasa mkoloni kutoka hiyo familia hawezi kunisaidia kujua kiongozi gani ananifaa Africa,

- Again hapa tunaongelea taifa kama unajua wizi wa familia yangu unaweza kuuweka hapa au ukaufungulia topic yake, maana hapa tunajadili mkoloni anayetaka kutuamilia kiongozi wetu awe nani!


William.
 

Tena mimi nitamwandikia huo dada afanye kampeni ya kukata misaada Tanzania mpaka CCM ing'oke maana ndo inayowatia kichwa na kuwa na akili mgando ya kushindwa kufikiria mipango madhubuti ya kuinua uchumi.
 

Huyu William Mbabaishaji tu, Green Card Yenyewe apate wapi. Huyu anatetea Kikwete na hataki kutoka Marekani, usituzingue wwe
 
China hawatoi msaada kwa Marekani bali wananunua bonds ambazo wanajua hapo baadae watafaidika. Ni uamuzi wa kibiashara. Sisi tunaochangiwa ili tuweze kunua vyandarua ndio wenye matatizo. Kama hatuoni shida kodi za wananchi wao zinapogharamia sehemu kubwa ya bajeti basi hivyo hivyo inatubidi tukubali wanapotu-criticize. Hatukutakiwa kuwa hapa tulipo miaka 50 baada ya uhuru!

Amandla.......
 

- Nitamueleza kama ambavyo nimemueleza mara nyingi kwamba, bado tuna udhaifu wa kusimamia sheria tukiweza kusimamia sheria basio mengine yote yatajinyoosha yenyewe, tatizo letu kubwa ni kutoheshimu sheria zetu wenyewe.

william.
 
Mkuu Mwalimu Nyerere hakuishia kwa Wazungu tu hata wale waliokuwa wanataka kuuza Nchi aliwachamba vile vile, nakumbuka 1995 kuna Mkulu Mmoja alibadili hadi jina lengo auze Nji kwa waarabu !

Mzee una akili wewe umepigilia penyewe kabisa!
 
Huyu William Mbabaishaji tu, Green Card Yenyewe apate wapi. Huyu anatetea Kikwete na hataki kutoka Marekani, usituzingue wwe


Mkuu Usijali sana maana Kesho Mustakabali wa nchi hii unarejeshwa Mikononi mwa Wananchi!

Tanzania will never be the same, watu wanataka amabadiliko na Safari ya Mabadiliko ndio imeshaanza ila Masultani hawaipendi
 

- Kutu-criticize ni one thing na kutuambia nani anafaa na nani hafai kuwa kiongozi wetu ni totally another story, ninaktaa mkoloni kutuambia nani hafai na nani anafaa kua kiongozi wetu, sijakaataa kuwa criticized!

william.
 

Tuache kupotosha tuliwafukuza lini kwa vita ipi? UMESAHAU KUWA TULIPEWA UHURU UN?tena kwa kiherehere chetu? wakati mwingereza alipewa atuangalie tu tukiwa na uwezo ndio atukabidhi nchi yetu?
 

Jamaa anajipendekeza kwa JK labda atampatia kitengo baada ya baba mtu kutoswa!!
 
Mkuu Usijali sana maana Kesho Mustakabali wa nchi hii unarejeshwa Mikononi mwa Wananchi!

Tanzania will never be the same, watu wanataka amabadiliko na Safari ya Mabadiliko ndio imeshaanza ila Masultani hawaipendi

- Wa-Tanzania wengi tunataka mabadiliko, lakini sio ya kuambiwa na mkoloni.

William.
 
Amka wewe! dunia ya leo haiitaji watu mbumbumbu kama wewe wasioelewa nini kinaendelea hata nchini kwao, ah!
 
Mimi naona tatizo letu ni kutokubali ukweli.Ukweli ni kuwa kikwete ameshindwa kusimamia rasilimali za taifa hili,amekumbatia mafisadi na ameshindwa kusimamia uwajibikaji katika utumishi wa umma.Huyu dada hajasema jipya hapo,Watanzania kwa mamilioni tulishaona hayo na tulishaamua hatutampa 2nd term huyu bwana!Whats the hussle?
 
Tuache kupotosha tuliwafukuza lini kwa vita ipi? UMESAHAU KUWA TULIPEWA UHURU UN?tena kwa kiherehere chetu? wakati mwingereza alipewa atuangalie tu tukiwa na uwezo ndio atukabidhi nchi yetu?

- Historia iko wazi kwamba hawakutaka kuondoka, ndio maana Mwalimu alienda UN kuwafukuza waondoke na waliondoka na tukawa huru!

William.
 

- Nitamueleza kama ambavyo nimemueleza mara nyingi kwamba, bado tuna udhaifu wa kusimamia sheria tukiweza kusimamia sheria basio mengine yote yatajinyoosha yenyewe, tatizo letu kubwa ni kutoheshimu sheria zetu wenyewe.

william.

Na wa kwanza kuonyesha kuwa anataii sheria wanatakiwa kuwa viongozi. Kama mwenyekiti wa chama JK hajachukua full resposibility. Mfan wamemzuaia bashe na mwakalebela bila tuhuma zao kuthibitishwa b na vyombo husika lakini wameruhusu Mramba na Chenge waendelee kugombea kwa kisingizio vyombo husika bado havijawaona na makosa.

Kama mwenyekiti wa chama ameshindwa kuwaweka pembeni baadhi ya wale wanaotuhumiwa wakati huo huo akawatosa baadhi. Huoni kuwa kiongozi mwenyewe ndo tatizo na sio sheria.
 
Tusisahau kupiga kura kesho na Kuhamasisha Waliolala

Saa ya Mabadiliko ni sasa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…