Lishe kwa mtoto - Unampikia nini mtoto wako (miezi 6-12)

Viazi vitamu pia ni chakua kizuri kwa watoto, unavichemsha na carrot unablend au unaviponda ponda kwa kijiko, unaweza kuweka maziwa au supu ya nyama
Pia hivo hivo unaweza kupika butternut, sijui kwa kiswahili inaitwaje unachanganya na maziwa au supu ya nyama

Hiyo ndio butternut

Pia matunda unayablend badala ya kumix maji unamix na maziwa inakua na ladha nzuri sana mi nshajaribu papai na maziwa inakua ladha nzuri mnoo, Avocado na maziwa pia ndizi sukari
 
Vipi kuhusu kuchanganya dagaa na maembe?
 
Eve mbona liko kama boga? Au ni kitu gani hiki?
 
Nimeipenda sana hii siredi [emoji4] [emoji4]

Hongera muanzisha uzi [emoji122] [emoji122] [emoji122] na tunashukuru sana.
 
Mihogo ya sukari na nazi....nimepika jana so sweet
Namna ya kuandaa
. Menya mihogo, ikate katikati kutoa ule uzi
. Ichemshe na maji tu hadi iive ilainike
. Maji yakikauka katia kitunguu nusu, hoho kipande kidogo, mafuta kijiko kimoja cha chakula, kwangulia carrot, weka sukari na tui la nazi acha ichemke
. Nazi ikibaki kidogo, koroga koroga ili iwe rojo
Msosi upo tayari kwa kuliwa. Ni tamu hiyo bad luck mwanangu aligoma kula nikala mwenyewe chote nikamaliza 😛😛
 
Kuna website ya Mtoto Wangu ambayo nafikiri wazazi wanaweza kupata mambo mengi kuhusu mototo tangu siku ya kwanza na kuendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…