- Thread starter
- #161
aiseee!!! huu uzi utakuwa usefull kwangu soon ngoja niendelee kupata maujuzi
Nashangaa mods bado tu hawajauweka sticky lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aiseee!!! huu uzi utakuwa usefull kwangu soon ngoja niendelee kupata maujuzi
MaashAllah wa kwangu anapenda ukubwa anataka kula mwenyewe ati na akila anajiramba utacheka ila vyakula vyake hapendi sana yaani kwa ugomvi nimfanye namlisha yeye baba ake na mie nile apo kidogo atakula siku akiamua hataki kitu ni nyonyo tu nakomajeee
Pole sana sasa kwa style hiyo usiombe uwe na mapacha wakiume wote ni shidaah..
Usijali any tine my dear
Hiii thread ni nzuri sana,nimepitia coment za watu ninashukuru nimepata vitu vizuri sana,asanye kwa muanzisha thread,ila mie mwanangu ana miezi mitano nimeanza na uji wa karanga na maziwa,naomba kujua oats nini sijapata jibu nataka nimjaribu mwanangu.
Asante saana farkhina,nimejua vitu vingi kupitia thread zako hasa mapishi,Mungu akubariki zaidi.
Yan Leo mi sikukuu imeenda vibaya nimefika Leo home toka sehem nayofanyia kazi (tunaishi mikoa tofauti kwakuwa wate tumeajiriwa tofauti tofauti)nmekuta mama mtoto anamlisha mwanangu uji tena mtoto mwenyewe ndo Leo ametimiza miezi mitano kiukweli nmekwazika sana ila nmenyamaza sikukuu ipite ndo nimuulize vizur kwann amekiuka makubaliano yetu ya kuanza vyakula baada ya miezi 6?. Hvi kuna madhara yoyote ya kulishwa chakula mapema ? Nfanyaje sasa wadau?
asante farkhina..
Usiku sasa nakomaje? Yaani kulala kwenyewe hadi aniguse nkiinuka huyo kashtuka alafu akiona tu nyonyo kwa juu anasema nana ukiskia hivo ndio anataka nyonyo na usiku anataka nimpe nyonyo akishtuka tu nimpe nyonyo sasa nachoka lol walau akiamka mara moja anyonye chupa
ShffnZcnbyo