Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha haaaa, wangu mie saivi ukimbeba halafu akaona unaelekea mlangoni anaanza kuruka ruka huku anacheka. Sijui kwa nn wtt wanapenda nje
farkhina kama ndo hivyo basi mtafutie vile vikombe vya watoto vyenye mifuniko iliyotobolewa vitundu vidogo vidogo ili nae ajione mkubwa bila kukuchosha sana na glass.
APPLE KWA WATOTO WASIO NA MENO....
Mahitaji
Apple 1 osha vizuri alafu ondoa maganda
Cha kuparia carot
Namna ya kutaarisha...
Baada ya kumenya apple
Sugua vizuri kwenye cha kuparia carrot.....
Mlishe mtoto.....
Njia nyengine
Katakata apple then steam
Pondaponda kwa kijiko na mlishe mtoto
Hahahaha anapenda sana kutembea sasa kama huyo umtoe out lazma mkimbizane
Ha ha haaaa, wangu mie saivi ukimbeba halafu akaona unaelekea mlangoni anaanza kuruka ruka huku anacheka. Sijui kwa nn wtt wanapenda nje
Thanks Faa In sha Allah ntajaribu hii, mwanangu kanapenda kula mashaAllah.
Nikisoma huu uzi natamani hata kesho nizae na mie nianze kuapply hayo makitu
yaaani hunishindi mm mama, am eager becoming a mom
Wanaume wote hawa
Nikisoma huu uzi natamani hata kesho nizae na mie nianze kuapply hayo makitu
Maziwa ya mama
MaashaAllah msagie iwe laini tumia penye kutoa laini zaidi
Jamanu kajamaaa kangu kamamefika miezi6 ndo nimeanza kukapa uji Wa dona asubuhi hakataki nimejaribu selelac hakataki nampa tujuice kidogo kanakynywa ila kwa kulazimishana hats cijui nifanyaje kenyewe Karnataka kunyonya na maxima ya kopo kanakunywa ciju nyie wenzangu mnafanyaje mnapoanza kuwaanzishia mtoto chakula
Una mji wa aina gani? Miezi 6 hata viazi vilivyopikwa na supu anakula visage tu viwe laini