Lishe kwa mtoto - Unampikia nini mtoto wako (miezi 6-12)

When can my baby eat honey?

Although honey seems like a wholesome and natural food to give your infant, don't do it until after she's at least 12 months old. Honey can contain spores of a bacterium called Clostridium botulinum, which can germinate in a baby's immature digestive system and cause infant botulism, a rare but potentially fatal illness.

These spores are usually harmless to adults and children over 1 year old, because the microorganisms normally found in the intestine keep the bacteria from growing.

To be on the safe side, don't cook with honey (in baked bread or pudding, for example) if your baby is going to be eating the finished dish. While the toxin is heat sensitive, the spores are difficult to kill. Commercial foods that contain honey, like ready-to-eat breakfast cereals and baby food, are safe for your baby because they've been heated enough to kill the spores.

The FDA has tested other sweeteners (such as light and dark corn
syrup) and not found the harmful bacteria. But it's a good idea to consult with your baby's doctor about which foods are the healthiest.

If your baby shows symptoms of botulism – constipation along with muscle weakness, trouble sucking, slack jaw, or crying and lethargy – see a doctor immediately.

SOURCE: babycenter.com
 
Sawa....
 
yaani katembea laet year septemba na mpaka leo anamlisha kila kitu hajui kula mwenyewe ni mpangaji wangu bas mwanangu alivyotembea alikua anashangaa kweli

Ndo ivo wengine wanachelewa sana. Na wengine huwa mabonge sana mpk hawajiwezi
 
LazyDog dokta wake hakunikataza kumpa asali namrambisha tu kidogo sana
 
Last edited by a moderator:
Nliwahi sikia kuna watoto hupikiwa uji wa unga wa muhogo kuna yoyote aliewahi mpa mtoto wake? Hauna tatizo kwa digestion?

Sidhani kama una shida.Mi nlikua mwanzoni nampa uji wa lishe wenye soya, karanga,( ufuta) mahindi.Dr. akaniambia ata nisipoweka ivo vyote haina shida bado dona linavirutubisho vya kutosha .

Siku hizi nampa uji wa dona asubuhi ulochanganywa na unga wa muhogo, ni mzuri tu hapati shida.She's two years anaunywa asubuhi na jioni.Mchana kiugali au ndizi na viazi.
 
Jamani mwanangu ana mwaka na miezi miwili hali ,yaani ninavyosema hali mpaka nikiwa kwenye majukumu yangu nachanganyikiwa

Nilijaribu recipe na simple foor nilipewa na wadau zote hataki,maziwa sheeda ,uji sheeda yaani mmh
Fresh Juice ,matunda kila korokoro la chakula hali

Jamani nimejaribu hata visivyojaribiwa mwisho maDr wamenambia ni aina ya mtoto .badala ya kukonda yeye nakonda mie kwa mawazo
 
afadhali nipate maujuzi mwanangu aje afaidi tu, thanx farkhina
 
Last edited by a moderator:
pls tusaidieni sisi wazazi wa uzao wa kwanza:
1. Umri gan anatakiwa aanze kukaa
2. kusimama na kutembea
3. meno yanatoka akiwa na umri gani?

Ni mtoto wa kiume.

pagawa Meno yanaanza kuota kati ya miezi 4-10.

#1 na 2 zinategemea sana mtoto mwenyewe pia ni kiasi gani unajishughulisha nae kama mzazi.

Wa kwangu (wa kiume pia) alianza kukataa kubebwa kwa kulazwa tangu ana miezi mitatu. Watu walikua wananiambia nisimkalishe sababu ataumia kiuno ila mi nilichofanya ni kufuata kile mtoto wangu anachotaka na sio maneno na ushauri wa watu ambao niliona utamfanya mtoto adumae kwa kumzuia kufanya yale maendeleo ambayo yeye mwenyewe anayataka na yuko tayari. Be like that, mtoto aking'ang'ania kuinuka msaidie, akitaka kukaa mtafutie pozi la kukaa, kusimama and so on.
Nimesikia sana watu wakisema watoto wa kiume wanachelewa kutembea mpaka hata mwaka na miezi 8lakini nayo sio kweli kwa 100%.
Wangu alikaa mwenyewe na miezi 6 na alianza kutembea na kitanda akiwa na miezi 8.5 (kutambaa ni kama aliruka), miezi 10 anapiga hatua mwenyewe na mwaka mmoja alikuwa anakimbia na alishaanza kuongea.
Kenyewe ni kajanja na kepesi sana ila maendeleo yake ya haraka haraka yamechangiwa sana na kaka yake (wamezidiana miaka mitatu) alimpa sana changamoto na ari ya kukua fasta ili asibaki nyuma. Pia sisi wakubwa tulikuwa hatumbebi bebi hovyo, muda wake wa kuwa macho alikuwa anapata mazoezi ya kumtosha.

Kitu kingine ambacho nimegundua huwa kinawafanya watoto wakue taratibu ni wadada wa kazi na uvivu wa wazazi. Chunguzeni wenyewe mtagundua kwamba, kwanza wadada wa kazi huwa wana-opt kumbeba mtoto mgongoni hata kama ana kazi kuliko kumweka chini kukwepa usumbufu wa mtoto. Wazazi nao, wako radhi wabebe mtoto muda mwingi kuliko kumuacha ahangaike huku na kule kwa sababu hiyo hiyo. Hata kuwaongelesha watoto, wengi wanaona ni kazi ya bure kupiga story na mtoto asiweza kujibu kitu kinachoeleweka ila hiyo ndio njia ya kumfanya mtoto ajifunze haraka.
 
Ndio wanatafautiana mawazo ila muhimu kufuata ushauria wao mimi binafsi nlishauriwa na dokta wake nianze kumpa uji na puree na vyakula laini alitimiza miezi 4 na ilikua vizuri tu alikua ok na hakuwa akipata tabu choo ila tu ana chagua sana vyakula

farkhina miezi sita ndio nzuri na ndio madaktari wengi wana-recomend. Miezi 4-6 unaweza ukawa unamlambisha tu vitu ili apate ladha kidogo lakini sio kumpa mlo mzima mpaka ashibe.

kweli mkuu mimi wangu kiukweli alianza uji mwepesi akiwa na mwezi 1. alitusumbua sana usiku halali ni kulia mwanzo mwisho.tuka gundua mtoto alia kwa ajili ya njaa, pili tukagundua kuwa maziwa ya mama ni mepesi hali iniyo mfanya mtoto asiwe anashiba.

siku tulipo kapa uji mwepesi usiku aisee kesho yake kaliamka saa mbili asubuhi badal ya saa kumi au kumi na moja

brave_3 hilo swala la maziwa kuwa mepesi ni janga kwa wengi. Jana tu nilikuwa naandika kitu about that, ningepost hapa ila nadhani niianzishie thread yake tu kama nilivyopanga mwanzo maana ni ndefu sana. Ila ntaweka link hapa.
 
Last edited by a moderator:
Shukurani kwa wote wanaojishughulisha na maswali kama haya.
 
pagawa Meno yanaanza kuota kati ya miezi 4-10.

#1 na 2 zinategemea sana mtoto mwenyewe pia ni kiasi gani unajishughulisha nae kama mzazi.

Wa kwangu (wa kiume pia) alianza kukataa kubebwa kwa kulazwa tangu ana miezi mitatu. Watu walikua wananiambia nisimkalishe sababu ataumia kiuno ila mi nilichofanya ni kufuata kile mtoto wangu anachotaka na sio maneno na ushauri wa watu ambao niliona utamfanya mtoto adumae kwa kumzuia kufanya yale maendeleo ambayo yeye mwenyewe anayataka na yuko tayari. Be like that, mtoto aking'ang'ania kuinuka msaidie, akitaka kukaa mtafutie pozi la kukaa, kusimama and so on.
Nimesikia sana watu wakisema watoto wa kiume wanachelewa kutembea mpaka hata mwaka na miezi 8lakini nayo sio kweli kwa 100%.
Wangu alikaa mwenyewe na miezi 6 na alianza kutembea na kitanda akiwa na miezi 8.5 (kutambaa ni kama aliruka), miezi 10 anapiga hatua mwenyewe na mwaka mmoja alikuwa anakimbia na alishaanza kuongea.
Kenyewe ni kajanja na kepesi sana ila maendeleo yake ya haraka haraka yamechangiwa sana na kaka yake (wamezidiana miaka mitatu) alimpa sana changamoto na ari ya kukua fasta ili asibaki nyuma. Pia sisi wakubwa tulikuwa hatumbebi bebi hovyo, muda wake wa kuwa macho alikuwa anapata mazoezi ya kumtosha.

Kitu kingine ambacho nimegundua huwa kinawafanya watoto wakue taratibu ni wadada wa kazi na uvivu wa wazazi. Chunguzeni wenyewe mtagundua kwamba, kwanza wadada wa kazi huwa wana-opt kumbeba mtoto mgongoni hata kama ana kazi kuliko kumweka chini kukwepa usumbufu wa mtoto. Wazazi nao, wako radhi wabebe mtoto muda mwingi kuliko kumuacha ahangaike huku na kule kwa sababu hiyo hiyo. Hata kuwaongelesha watoto, wengi wanaona ni kazi ya bure kupiga story na mtoto asiweza kujibu kitu kinachoeleweka ila hiyo ndio njia ya kumfanya mtoto ajifunze haraka.

Thanx a lot Lizzy
 
Swadakta mama
 
Last edited by a moderator:
Shukraan sana Lizzy kwa maelezo mazuri
 
Last edited by a moderator:
Huyu kijana anapenda sana kula wali namshukuru mungu huwa hasumbuwi ktk kula
 
Back
Top Bottom