brave_3
JF-Expert Member
- Jun 9, 2014
- 1,186
- 705
kweli mkuu mimi wangu kiukweli alianza uji mwepesi akiwa na mwezi 1. alitusumbua sana usiku halali ni kulia mwanzo mwisho.tuka gundua mtoto alia kwa ajili ya njaa, pili tukagundua kuwa maziwa ya mama ni mepesi hali iniyo mfanya mtoto asiwe anashiba.Kuna madokta wanasrma its ok kumpa chakula mtoto kuanzia miezi minne ila viwe vyepesi sana mfano apple and carrot puree au uji mwepesi ila maamuzi ni wewe mlezi mwenyewe
siku tulipo kapa uji mwepesi usiku aisee kesho yake kaliamka saa mbili asubuhi badal ya saa kumi au kumi na moja