kweli mkuu mimi wangu kiukweli alianza uji mwepesi akiwa na mwezi 1. alitusumbua sana usiku halali ni kulia mwanzo mwisho.tuka gundua mtoto alia kwa ajili ya njaa, pili tukagundua kuwa maziwa ya mama ni mepesi hali iniyo mfanya mtoto asiwe anashiba.Kuna madokta wanasrma its ok kumpa chakula mtoto kuanzia miezi minne ila viwe vyepesi sana mfano apple and carrot puree au uji mwepesi ila maamuzi ni wewe mlezi mwenyewe
tupo sawa mkuu wakwangu nikimpa uji wa ulezi ujue hapo ni vita. ila akiona wali,ndizi,viazi,ugali na tambi hapo atakula kama sio yeye
kwenye matunda sasa ndio mahala pake haswa chugwa ,embe na ndizi ndio anavila kwa kushika mwenyewe.
kwenye uji nampa uji wa dona uliochanganywa na blue bend,sukari kwa mbali na maziwa ya ng'ombe.
hapo kwenye maziwa tulimtafutia sehemu wanayo uza maziwa kisha tuka chagua ng'ombe mmoja tu kwa ajili yake.
kwa upande wa juisi wangu hanywi yani hapo ni vita. ila .anakunywa sana maji.
cha ajabu sasa hataki kulishwa na mama yake ila akilishwa na watu wengine anakula bila wasi wasi
kitu kinacho kuja mwanangu ana miezi 8 ila bado haja anza kutambaa ila meno anayo. jana tumempeleka kriniki amekutwa na kilo 10
kweli mkuu mimi wangu kiukweli alianza uji mwepesi akiwa na mwezi 1. alitusumbua sana usiku halali ni kulia mwanzo mwisho.tuka gundua mtoto alia kwa ajili ya njaa, pili tukagundua kuwa maziwa ya mama ni mepesi hali iniyo mfanya mtoto asiwe anashiba.
siku tulipo kapa uji mwepesi usiku aisee kesho yake kaliamka saa mbili asubuhi badal ya saa kumi au kumi na moja
Vipi dokta alikua na lolote la kusema kuwa kama ukuaje wake si mzuri au ana tatizo lolote kama si hivyo basi yupo sawa atatambaa mda wake ukifika...
Kila ukuaji wa mtoto ni tofauti na mwengine mradi yupo healthy and happy basi usihofu ....
Kutambaa wengi wanaanza miezi 8 kama wa kiume huchelewa kidogo hata kukaa watoto wa kike wakataa mapema miezi 5-6
kwa madokta wanasema hana tatizo.
wangu NIWAKIKE katika swala la kukaa alianza akiwa na miezi 6
Toba!!! Mwezi 1 mlimuonea jamani mngekua mnampa maziwa ya kopo kama ya mama hayatoshi vipi kabla ya hapo mlimshauri dokta wake au mliamua wenyewe tu?

Mi wa kwangu mashaallah kila kitu twende. Uji wa lishe, wa oats wa dona, hachagui. Mchana nampa mchanganyiko wa mbatata na carrots na tungule kdg. Siku nyengine tunamchanganyia na soup ya samaki au nyama au maji ya mchicha. Machungwa anapenda, huwa tunampa hivihivi au tunamkamulia juice. Ukimpa chupa ya juice haiweki chini mpaka ahakikishe kamaliza, lol. Ana miezi 10 lkn hana hata kipande cha jino, so lazima kila kitu tumpe kikiwa ujiuji
Farkhina wtt wengine wanapewa uji wakiwa kwenye arobaini. Wengine wanazaliwa na afya zao. Unamfanyia uji mwepesi na uhakikishe tu unawiva vizuri. Wtt wengine maziwa matupu hayawachukui kabisa.
Kuhusu uji wa unga wa muhogo naskia ni mzuri sijaskia kama unasababisha tatizo la choo.
Vp kuhusu uji wa custard hauna neno sijui?
Mi mwanangu mashaAllah hasumbui kwenye kula, ye kinomkalia mbele twende na anakula bila usumbufu. Wa pili ilikuwa akilishwa shughuli, maana ilikua inanibidi mie nitoke nisimkie anavolia.
umeniacha hoi aiseee SAFARI BARIDI !hahaha
Mi wa kwangu mashaallah kila kitu twende. Uji wa lishe, wa oats wa dona, hachagui. Mchana nampa mchanganyiko wa mbatata na carrots na tungule kdg. Siku nyengine tunamchanganyia na soup ya samaki au nyama au maji ya mchicha. Machungwa anapenda, huwa tunampa hivihivi au tunamkamulia juice. Ukimpa chupa ya juice haiweki chini mpaka ahakikishe kamaliza, lol. Ana miezi 10 lkn hana hata kipande cha jino, so lazima kila kitu tumpe kikiwa ujiuji
Wagumba utawajua tuu....
Wenzie tunakula desa kimya kimya tusije adhirika huko mbele ya safari...ye analeta ujuha....
Moderator naomba huu Uzi uwe sticky pliiiz.....tusihangaike kuusaka sana siku za usoni....
Farkhina aksante mno kwa uzi mzuri. Utatusaidia wengi.
Wangu ana miezi 5 soon tunaanza mchakato wa chakula. Maziwa ya mama ananyonya usiku tu. Mchana formula sababu kwanza alikuwa hashibi na pia ratiba za ajira.
Naomba kuuliza, tunashauriwa chakula cha mtoto kiwe fresh yaani kipikwe ale. Siyo unapika asubuhi ale jioni. Sasa wenzangu mnafanyaje? H/gs ndo wanapika mchana wakati mpo makazini au?
At least cha jioni mama unaweza andaa as ukiwahi kurudi...including weekends.
Maana hawa H/gs nao umakini unahitajika.
Farkhina aksante mno kwa uzi mzuri. Utatusaidia wengi.
Wangu ana miezi 5 soon tunaanza mchakato wa chakula. Maziwa ya mama ananyonya usiku tu. Mchana formula sababu kwanza alikuwa hashibi na pia ratiba za ajira.
Naomba kuuliza, tunashauriwa chakula cha mtoto kiwe fresh yaani kipikwe ale. Siyo unapika asubuhi ale jioni. Sasa wenzangu mnafanyaje? H/gs ndo wanapika mchana wakati mpo makazini au?
At least cha jioni mama unaweza andaa as ukiwahi kurudi...including weekends.
Maana hawa H/gs nao umakini unahitajika.
tupo sawa mkuu wakwangu nikimpa uji wa ulezi ujue hapo ni vita. ila akiona wali,ndizi,viazi,ugali na tambi hapo atakula kama sio yeye
kwenye matunda sasa ndio mahala pake haswa chugwa ,embe na ndizi ndio anavila kwa kushika mwenyewe.
kwenye uji nampa uji wa dona uliochanganywa na blue bend,sukari kwa mbali na maziwa ya ng'ombe.
hapo kwenye maziwa tulimtafutia sehemu wanayo uza maziwa kisha tuka chagua ng'ombe mmoja tu kwa ajili yake.
kwa upande wa juisi wangu hanywi yani hapo ni vita. ila .anakunywa sana maji.
cha ajabu sasa hataki kulishwa na mama yake ila akilishwa na watu wengine anakula bila wasi wasi
kitu kinacho kuja mwanangu ana miezi 8 ila bado haja anza kutambaa ila meno anayo. jana tumempeleka kriniki amekutwa na kilo 10
Wow maashaAllah ana umri gani? Wangu miezi 8 na nusu ila hajaanza kutoa meno
Ana mwaka sasa na wiki mbili.
:what: Miezi kumi hana meno. ila vipi kamesha anza kutambaa?