Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,263
kweli kabisa maana ameuza raslimali zote kwa wzungu na mikataba yote ya kinyonyaji yenye maslahi binafsi ya mwenyekiti yeye LISSU ndio kasaini....Tena mwambie watz tutamfundisha adabu!
Baada ya oktoba 28 atarudi kwa beberu wake Amsterdam akiwa analia!
Huyu jamaa hafai kabisa