Uchaguzi 2020 Lissu aanza kutumia Chopa. Kutikisa Bagamoyo, Kibaha na Chalinze leo

Uchaguzi 2020 Lissu aanza kutumia Chopa. Kutikisa Bagamoyo, Kibaha na Chalinze leo

Tena mwambie watz tutamfundisha adabu!

Baada ya oktoba 28 atarudi kwa beberu wake Amsterdam akiwa analia!
kweli kabisa maana ameuza raslimali zote kwa wzungu na mikataba yote ya kinyonyaji yenye maslahi binafsi ya mwenyekiti yeye LISSU ndio kasaini....

Huyu jamaa hafai kabisa
 
Back
Top Bottom