Uchaguzi 2020 Lissu aanza kutumia Chopa. Kutikisa Bagamoyo, Kibaha na Chalinze leo

Uchaguzi 2020 Lissu aanza kutumia Chopa. Kutikisa Bagamoyo, Kibaha na Chalinze leo

Anayeaminiwa na wengi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Washamba ni nyie mnaotumia wasanii kucheza hata kinyume cha maadili ya Kitanzania ili mradi tu mkusanye watu, tena mnakusanya hata watoto wa shule kuja kushuhudia uchafu wenu.
Akicheza Jukwaani kwa CCM ni kinyume na maaadil ila akiwa fiesta ni sawa na wewe unashangilia.
Ni sawa na ya Lowassa 2015, akiwa CCM ni fisadi nguli akiwa kwenu Chadema ni msafi alisingiziwa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂 tumia akili ya darasa la kwanza tu. Utaelewa ukiwa wa mwisho umeonewa wa kwanza kapendelewa kisa mtoto wa Mwalimu.
 
Si aisema kuna njama zinataka kutumika kumuangusha akipanda ndege?mbona anapanda tena chopa
 
Kampeni za Chadema ziko more strategic, zinamfanya mgombea kupita eneo moja zaidi ya mara moja.

Ukiangalia baada ya uzinduzi wa kampeni kwenye kanda zote ( mikoa 10) atarudi tena kwenye maeneo hayo kwa maana ya kila jimbo, hiyo itampa nafasi ya kufanya 'clear the air campaign' kwenye maeneo ambayo mgombea wa ccm alishapita na hana nafasi ya kurudi tena.

Namna hii ya kampeni inamuwezesha kufuta 'sumu' iliyomwagwa na mpinzani wake na kuacha 'madini' yake kwa wapiga kura kuelekea oct 28, just brilliant strategy.
Hahaaaaaa jipe moyo baba.
Ila atakaye apishwani Magufuli.
Nawapenda upinzani wanasaidia kurahisishia wananchi maisha but kuongoza bado.
Vyama vyao havijapevuka vizuri. Kama kubadili mwenyekiti inashindikana je kuongoza nchi.
Mpeni Lwaitama awe mwenyekiti.
 
Mbona hamleti update maonyesho ya helicopter yatakuwa viwanja vipi na saa ngapi
 
Tundu Antipas Lissu, Mgombea Urais kupitia CHADEMA anayeaminiwa na wengi kushinda Urais mwaka huu leo anaanza rasmi kuruka angani kwa kutumia Chopa maalum.

Baada ya mapumziko ya siku 2 mgombea huyo leo anatarajiwa kuingia mkoani Pwani kwa kishindo ambapo atafanya mikutano mikubwa ya kampeni katika miji ya Kibaha, Chalinze na Bagamoyo

Mara baada ya awamu ya kwanza kuzindua kampeni kwenye kanda zote 10 kwa sasa lengo kubwa ni kufanya mikutano mingi ya kukutana na wananchi kwa kila mkoa na kila Jimbo la Uchaguzi.

#Niyeye2020
Chopa ulishawahi kuwasidia chadema tangu mnaitumia kwenye kampeni?
Kwa nini hamjifunzi?
Vita inapiganwa ardhini!
Ngoja washangae chopa, baada ya hapo mtaelewa
 
CCM mbona mnanadi mgombea wenu kwa gharama kubwa sana? Kila nguzo ya umeme mijini ina bango lake wakati miaka yote mitano alikuwa akifanyia kazi zake kwenye runinga.
Kwani hujui maana ya kampaign kaa kimya, kupanga ni kuchagua fedha yachama chenu mlimpa mwenyekiti katafuna sasa mnalialia nini , wao ccm walipanga fedha yao kutumika kumnadi mgombea. Hamjataka kuomba poo??????????????????????
 
Hata nje ya mtandao wako kibao wanaoamini Lissu kuwa atashinda,wana CHADEMA wasiyo kuwa na chama chochote, wenye vyama tofautitofauti wakiongozwa na CCM wote wanaamini Lissu atashinda.
Daaa mtakufa na chemba moyo bure.
Nyie munaona rahisi wakati yeye anaona haiwezekani.
Kumbe na nyinyi ni wajumbee eee.
 
Akicheza Jukwaani kwa CCM ni kinyume na maaadil ila akiwa fiesta ni sawa na wewe unashangilia.
Ni sawa na ya Lowassa 2015, akiwa CCM ni fisadi nguli akiwa kwenu Chadema ni msafi alisingiziwa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tumia akili ya darasa la kwanza tu. Utaelewa ukiwa wa mwisho umeonewa wa kwanza kapendelewa kisa mtoto wa Mwalimu.
Wewe ndiyo huna akili vitoto vinaenda kwenye fiesta ? Nyie mliwatoa watoto madarasani waende kwenye uchafu wenu, usitetee upumbavu!
 
Wewe ndiyo huna akili vitoto vinaenda kwenye fiesta ? Nyie mliwatoa watoto madarasani waende kwenye uchafu wenu, usitetee upumbavu!
Kukuonesha kuwa huna akili subili 28 October. Magufuli anavyoshindaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂. Hupendi jinyonge.
 
Back
Top Bottom