uporo wa wali ndondo
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 3,455
- 2,240
Akicheza Jukwaani kwa CCM ni kinyume na maaadil ila akiwa fiesta ni sawa na wewe unashangilia.Washamba ni nyie mnaotumia wasanii kucheza hata kinyume cha maadili ya Kitanzania ili mradi tu mkusanye watu, tena mnakusanya hata watoto wa shule kuja kushuhudia uchafu wenu.
Kampeni za Chadema ziko more strategic, zinamfanya mgombea kupita eneo moja zaidi ya mara moja.
Ukiangalia baada ya uzinduzi wa kampeni kwenye kanda zote ( mikoa 10) atarudi tena kwenye maeneo hayo kwa maana ya kila jimbo, hiyo itampa nafasi ya kufanya 'clear the air campaign' kwenye maeneo ambayo mgombea wa ccm alishapita na hana nafasi ya kurudi tena.
Namna hii ya kampeni inamuwezesha kufuta 'sumu' iliyomwagwa na mpinzani wake na kuacha 'madini' yake kwa wapiga kura kuelekea oct 28, just brilliant strategy.
Hahaaaaaa jipe moyo baba.
Ila atakaye apishwani Magufuli.
Nawapenda upinzani wanasaidia kurahisishia wananchi maisha but kuongoza bado.
Vyama vyao havijapevuka vizuri. Kama kubadili mwenyekiti inashindikana je kuongoza nchi.
Mpeni Lwaitama awe mwenyekiti.
Hata mh. Pombe anaamini Lissu atashindaWanaoamini kwamba atashinda urais ni wanachadema wa mitandaoni tu.
Na familia ya mwenyekiti.Nd
NdO matumizi ya pesa kwani shida iko wapi?
Nyie pesa zenu mnatumia mahakamani na ubeligiji.
Kama unaamini Magu anashinda umwambie asipige kampeni ili CDM wa mitandaoni washindwe na kulegea.Wanaoamini kwamba atashinda urais ni wanachadema wa mitandaoni tu.
Ha ha ha...
Mkuu huyu ni Rais wa nchi.Huu ni msafara wa Magufuli unaijua gharama yake... na chopa ya jeshi juu.
View attachment 1564859
View attachment 1564858
Usalama uzingatiwe pia..Waoh karibu nyumbani Rais mtarajiwa.
Chopa ulishawahi kuwasidia chadema tangu mnaitumia kwenye kampeni?Tundu Antipas Lissu, Mgombea Urais kupitia CHADEMA anayeaminiwa na wengi kushinda Urais mwaka huu leo anaanza rasmi kuruka angani kwa kutumia Chopa maalum.
Baada ya mapumziko ya siku 2 mgombea huyo leo anatarajiwa kuingia mkoani Pwani kwa kishindo ambapo atafanya mikutano mikubwa ya kampeni katika miji ya Kibaha, Chalinze na Bagamoyo
Mara baada ya awamu ya kwanza kuzindua kampeni kwenye kanda zote 10 kwa sasa lengo kubwa ni kufanya mikutano mingi ya kukutana na wananchi kwa kila mkoa na kila Jimbo la Uchaguzi.
#Niyeye2020
Kwani hujui maana ya kampaign kaa kimya, kupanga ni kuchagua fedha yachama chenu mlimpa mwenyekiti katafuna sasa mnalialia nini , wao ccm walipanga fedha yao kutumika kumnadi mgombea. Hamjataka kuomba poo??????????????????????CCM mbona mnanadi mgombea wenu kwa gharama kubwa sana? Kila nguzo ya umeme mijini ina bango lake wakati miaka yote mitano alikuwa akifanyia kazi zake kwenye runinga.
Daaa mtakufa na chemba moyo bure.Hata nje ya mtandao wako kibao wanaoamini Lissu kuwa atashinda,wana CHADEMA wasiyo kuwa na chama chochote, wenye vyama tofautitofauti wakiongozwa na CCM wote wanaamini Lissu atashinda.
Hiyo sentensi ya mwisho ni ya kuzingatiwa sana..Kwa chopa ni chini ya dk 10 huoni hizo 30minutes zilizookolewa
Ila tu tupo macho msije kufanya kama mlivyomfanyia Deo
Wewe ndiyo huna akili vitoto vinaenda kwenye fiesta ? Nyie mliwatoa watoto madarasani waende kwenye uchafu wenu, usitetee upumbavu!Akicheza Jukwaani kwa CCM ni kinyume na maaadil ila akiwa fiesta ni sawa na wewe unashangilia.
Ni sawa na ya Lowassa 2015, akiwa CCM ni fisadi nguli akiwa kwenu Chadema ni msafi alisingiziwa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tumia akili ya darasa la kwanza tu. Utaelewa ukiwa wa mwisho umeonewa wa kwanza kapendelewa kisa mtoto wa Mwalimu.
Acha ungese. Matumizi mabaya unayajua wewe?Matumizi Mabaya ya pesa. KUTOKA DAR HADI KIBAHA KWA GARI NI MWENDO WA DAKIKA 40 MTU ANATUMIA HELKOPTA USHAMBA.
Matumizi Mabaya ya pesa. KUTOKA DAR HADI KIBAHA KWA GARI NI MWENDO WA DAKIKA 40 MTU ANATUMIA HELKOPTA USHAMBA.
Kukuonesha kuwa huna akili subili 28 October. Magufuli anavyoshindaaaπππππππππππππ. Hupendi jinyonge.Wewe ndiyo huna akili vitoto vinaenda kwenye fiesta ? Nyie mliwatoa watoto madarasani waende kwenye uchafu wenu, usitetee upumbavu!