Asubuhi na mapema Wakati najiandaa kwenda ofsini kwangu, nikasikia tangazo linalohusu ujio wa mgombea wetu mh Lisu kuwa saa nne kamili atatia timu katika viwanja vya Majengo hapa Bagamoyo nilipo Kwa sasa!
Wakati nakuja nikapitia pale kiwanjani, hapakuwa na maandalizi hata hapakuwepo na dalili za hadhara hiyo,
Na cha ajabu Hadi muda huu, hajaja, na Wakati SASA ni saa sita ikielekea saa 7, naambiwa hata hapo uwanjani kuna kiuchanja wametegeshea ili aje kuhutubia Ila hakuna hata mtu, sjui watu wa Bagamoyo hawataki au yeye hawataki watu wa Bagamoyo na ndiyo maana hajaja
Uongozi wa juu, tupeni maelekezo