Lissu acha kudandia, hoja ya mfumuko wa bei ni ya Mpina. Alikwisha ifikisha Bungeni miezi 8 iliyopita!

Hakuna mwanasiasa wa kumtetea mwananchi, wote wako pale kujinufaisha wao wenyewe, Kila mmoja ajipambanie yeye na familia yake
 

Eti wamedandia. Huyo mpina mwenyewe yupo bungeni na amekubali mshahara wake usiktwe kodi. Ana maana gani kutetea wananchi kama sio unafiki?
 
Huyu ana allergy tu na Lissu pamoja na CHADEMA, ndio maana huwa anaandika pumba nyingi.
 
Hii nchi ina watu wapumbavu kweli Kama huyu mjinga anayemkosoa Lissu Better die than live a slave
Hapana hii nchi kila moja ana haki ya kutoa maoni yake, tukianza habari za uyu mtu is better die than live a slave, tutakuwa tunakosea, hakuna mkamilifu chini ya jua, hata wewe una mapungufu.
So remain Calm!
 
Achana na Mpina ,mbona miaka 6 ya mwendazake hakuwahi sema kitu?

Hata yeye huoni Ni wa msimu pia?
 
Punguza wivu na makasirikio. Lissu atawanyoosha mpaka mkome.
 
uala la mfumko wa bei,Lissu na Chadema wamedandia hoja ambayo tayari,wabunge wa CCM yenyewe!, walikwisha liona na kuibana serikali hii,ambayo imelalia kwa Upper Class na walamba asali.
Sijui kama unajua ulichoandika! Ni vyema uwe unasoma tena ulichoandika kabla ya kurusha kuliko kukurupuka kama uharo!
 
Sawa umesema
Sawa umesema miezi 8 iliyopita toka kasema Mpina mfumuko wa bei umeshuka? Kama Lissu kalisemea tena ni kwa nia njema tu,ni hilo tu
 
Swali la kujiuliza hilo tatizo aliloliongelea Mpina limeisha?
Na kama lipo je Mpina ana hati miliki yake?
Tufike mahali tuache kupopoana bila sababu! Lissu kaongelea mfumuko wa bei ambao bado upo, na hata wewe mkuu panda jukwaani paza sauti mfumuko wa bei bado upo juu hali ni mbaya mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…