binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
😅😅😅😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Suala la njaa ni la kitaifa Wala si la mpina Wala lisu acha upumbavuJibu unalo kwamba amekwisha isajili Bungeni!
Achana na Brela ya wafanyabiashara!
Tutaenda kwa uthibitisho,ili kuondoa,uongo uongo wa wanadiasa waongo waongo pia walamba asali kwa mkono na ulimi!
Huu ndio ukweli halisi!
Mheshimiwa Luhaga Mpina,mbunge wa Jimbo la kisesa,alijitoa kafara,bila kupepesa macho bungeni,na kuichana Live,serikali ya chama chake cha CCM.
Akatohoa kila kitu kutokana ndhila wanayopitia watanzania.
Kutokana na upandaji holela wa bei za bidhaa nchini.
Lissu na Chadema meelewe hilo!
Suala la mfumko wa bei,Lissu na Chadema wamedandia hoja ambayo tayari,wabunge wa CCM yenyewe!, walikwisha liona na kuibana serikali hii,ambayo imelalia kwa Upper Class na walamba asali.
Badala ya wananchi na wapiga kura!
Tuaenda kwa hoja na uthibitisho mpaka kieleweke!
Na wakati Mpina akijitoa muhanga!takribani miezi nane iliyopita!
Lissu alikuwa akipigania kulipwa mafao yake,akiwa huko huko Ulaya,nchini Ubelgiji!
Lakini #Mpina alikuwa hapahapa, tena ndani ya bunge, akiichachafya serikali ya chama ambacho ndio pia kimempa nafasi ya kugombea ubunge na kuupata!
Na hilo limemgharimu mpaka kufyekwa jina lake, katika kugombea kuwa mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM pamoja na U-NEC wa CCM.
My take!
Hawa watu kama Mpina!
Ndio waterezi halisi wa wananchi ambao tunaowataka Tanzania hii.
Na sio wale cwa Msimu kama Lissu,wanaogeresha,huku familia zao zikiwa Ughaibuni.
Na wakishakosa malengo yao wanarudi Ulaya kama kawaida yao.
Asubuhi njema!
10101.
Wewe bi dada "usukuma gang" utakupa uchizi.Jibu unalo kwamba amekwisha isajili Bungeni!
Achana na Brela ya wafanyabiashara!
Tutaenda kwa uthibitisho,ili kuondoa,uongo uongo wa wanadiasa waongo waongo pia walamba asali kwa mkono na ulimi!
Hivi mtu akishazungumzia suala lolote lile kuhusu changamoto ziendanazo na ugumu wa maisha nalo pia lina umiliki binafsi kiasi kwamba mtu akishalizungumzia sehemu fulani, basi wengine waliobakia walazimike kukaa kimya, na mjadala wake ndiyo uwe umekwisha!?
Duh! Wakati mwingine nchi siyo ngumu, ila raia wenyewe ndiyo wagumu. Yaani kiongozi akiwa bungeni tena akiwakilisha wananchi wa jimbo lake akitoa mchango wake, basi hoja yenye maudhui sawa na yake isifanyiwe mjadala na watu wengine katika hadhira tofauti!
Je! Hansard za Bunge zinamfanya awe na "copy right" ama "patent right" kuhusu jambo hilo!?
Hapana hii nchi kila moja ana haki ya kutoa maoni yake, tukianza habari za uyu mtu is better die than live a slave, tutakuwa tunakosea, hakuna mkamilifu chini ya jua, hata wewe una mapungufu.Hii nchi ina watu wapumbavu kweli Kama huyu mjinga anayemkosoa Lissu Better die than live a slave
Huu ndio ukweli halisi!
Mheshimiwa Luhaga Mpina,mbunge wa Jimbo la kisesa,alijitoa kafara,bila kupepesa macho bungeni,na kuichana Live,serikali ya chama chake cha CCM.
Akatohoa kila kitu kutokana ndhila wanayopitia watanzania.
Kutokana na upandaji holela wa bei za bidhaa nchini.
Lissu na Chadema meelewe hilo!
Suala la mfumko wa bei,Lissu na Chadema wamedandia hoja ambayo tayari,wabunge wa CCM yenyewe!, walikwisha liona na kuibana serikali hii,ambayo imelalia kwa Upper Class na walamba asali.
Badala ya wananchi na wapiga kura!
Tuaenda kwa hoja na uthibitisho mpaka kieleweke!
Na wakati Mpina akijitoa muhanga!takribani miezi nane iliyopita!
Lissu alikuwa akipigania kulipwa mafao yake,akiwa huko huko Ulaya,nchini Ubelgiji!
Lakini #Mpina alikuwa hapahapa, tena ndani ya bunge, akiichachafya serikali ya chama ambacho ndio pia kimempa nafasi ya kugombea ubunge na kuupata!
Na hilo limemgharimu mpaka kufyekwa jina lake, katika kugombea kuwa mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM pamoja na U-NEC wa CCM.
My take!
Hawa watu kama Mpina!
Ndio waterezi halisi wa wananchi ambao tunaowataka Tanzania hii.
Na sio wale cwa Msimu kama Lissu,wanaogeresha,huku familia zao zikiwa Ughaibuni.
Na wakishakosa malengo yao wanarudi Ulaya kama kawaida yao.
Asubuhi njema!
10101.
Huu ndio ukweli halisi!
Mheshimiwa Luhaga Mpina,mbunge wa Jimbo la kisesa,alijitoa kafara,bila kupepesa macho bungeni,na kuichana Live,serikali ya chama chake cha CCM.
Akatohoa kila kitu kutokana ndhila wanayopitia watanzania.
Kutokana na upandaji holela wa bei za bidhaa nchini.
Lissu na Chadema meelewe hilo!
Suala la mfumko wa bei,Lissu na Chadema wamedandia hoja ambayo tayari,wabunge wa CCM yenyewe!, walikwisha liona na kuibana serikali hii,ambayo imelalia kwa Upper Class na walamba asali.
Badala ya wananchi na wapiga kura!
Tuaenda kwa hoja na uthibitisho mpaka kieleweke!
Na wakati Mpina akijitoa muhanga!takribani miezi nane iliyopita!
Lissu alikuwa akipigania kulipwa mafao yake,akiwa huko huko Ulaya,nchini Ubelgiji!
Lakini #Mpina alikuwa hapahapa, tena ndani ya bunge, akiichachafya serikali ya chama ambacho ndio pia kimempa nafasi ya kugombea ubunge na kuupata!
Na hilo limemgharimu mpaka kufyekwa jina lake, katika kugombea kuwa mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM pamoja na U-NEC wa CCM.
My take!
Hawa watu kama Mpina!
Ndio waterezi halisi wa wananchi ambao tunaowataka Tanzania hii.
Na sio wale cwa Msimu kama Lissu,wanaogeresha,huku familia zao zikiwa Ughaibuni.
Na wakishakosa malengo yao wanarudi Ulaya kama kawaida yao.
Asubuhi njema!
10101.
Ameshajibu kwamba Mpina ameisajili hoja yake Bungeni kwahiyo ni mali yake binafsiUkielewa kazi ya kila chombo ni rahisi kujua zaidi ya unacho jua
Pia hoja haijibiwi kwa dhiaka maana nae atafanya hivyo hivyo Au asikujibu kabisa
Hueleweki kama popo, au zile nafasi za walimu unadhani utaambulia teuziMpina ameisajili Brela au Cosota?
Teuzi ni kwa bavicha kwa sababu Chadema hakunaga fursaHueleweki kama popo, au zile nafasi za walimu unadhani utaambulia teuzi
Sijui kama unajua ulichoandika! Ni vyema uwe unasoma tena ulichoandika kabla ya kurusha kuliko kukurupuka kama uharo!uala la mfumko wa bei,Lissu na Chadema wamedandia hoja ambayo tayari,wabunge wa CCM yenyewe!, walikwisha liona na kuibana serikali hii,ambayo imelalia kwa Upper Class na walamba asali.
Uchague upande sio mara uko huku mara huko utawahi kufa vinginevyoTeuzi ni kwa bavicha kwa sababu Chadema hakunaga fursa