Lissu acha kudandia, hoja ya mfumuko wa bei ni ya Mpina. Alikwisha ifikisha Bungeni miezi 8 iliyopita!

Hakuna mwanasiasa wa kumtetea mwananchi, wote wako pale kujinufaisha wao wenyewe, Kila mmoja ajipambanie yeye na familia yake
 
Huu ndio ukweli halisi!
Mheshimiwa Luhaga Mpina,mbunge wa Jimbo la kisesa,alijitoa kafara,bila kupepesa macho bungeni,na kuichana Live,serikali ya chama chake cha CCM.

Akatohoa kila kitu kutokana ndhila wanayopitia watanzania.
Kutokana na upandaji holela wa bei za bidhaa nchini.

Lissu na Chadema meelewe hilo!

Suala la mfumko wa bei,Lissu na Chadema wamedandia hoja ambayo tayari,wabunge wa CCM yenyewe!, walikwisha liona na kuibana serikali hii,ambayo imelalia kwa Upper Class na walamba asali.

Badala ya wananchi na wapiga kura!

Tuaenda kwa hoja na uthibitisho mpaka kieleweke!

Na wakati Mpina akijitoa muhanga!takribani miezi nane iliyopita!

Lissu alikuwa akipigania kulipwa mafao yake,akiwa huko huko Ulaya,nchini Ubelgiji!

Lakini #Mpina alikuwa hapahapa, tena ndani ya bunge, akiichachafya serikali ya chama ambacho ndio pia kimempa nafasi ya kugombea ubunge na kuupata!

Na hilo limemgharimu mpaka kufyekwa jina lake, katika kugombea kuwa mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM pamoja na U-NEC wa CCM.

My take!

Hawa watu kama Mpina!
Ndio waterezi halisi wa wananchi ambao tunaowataka Tanzania hii.

Na sio wale cwa Msimu kama Lissu,wanaogeresha,huku familia zao zikiwa Ughaibuni.

Na wakishakosa malengo yao wanarudi Ulaya kama kawaida yao.

Asubuhi njema!
10101.

Eti wamedandia. Huyo mpina mwenyewe yupo bungeni na amekubali mshahara wake usiktwe kodi. Ana maana gani kutetea wananchi kama sio unafiki?
 
Huyu ana allergy tu na Lissu pamoja na CHADEMA, ndio maana huwa anaandika pumba nyingi.
Hivi mtu akishazungumzia suala lolote lile kuhusu changamoto ziendanazo na ugumu wa maisha nalo pia lina umiliki binafsi kiasi kwamba mtu akishalizungumzia sehemu fulani, basi wengine waliobakia walazimike kukaa kimya, na mjadala wake ndiyo uwe umekwisha!?

Duh! Wakati mwingine nchi siyo ngumu, ila raia wenyewe ndiyo wagumu. Yaani kiongozi akiwa bungeni tena akiwakilisha wananchi wa jimbo lake akitoa mchango wake, basi hoja yenye maudhui sawa na yake isifanyiwe mjadala na watu wengine katika hadhira tofauti!

Je! Hansard za Bunge zinamfanya awe na "copy right" ama "patent right" kuhusu jambo hilo!?
 
Hii nchi ina watu wapumbavu kweli Kama huyu mjinga anayemkosoa Lissu Better die than live a slave
Hapana hii nchi kila moja ana haki ya kutoa maoni yake, tukianza habari za uyu mtu is better die than live a slave, tutakuwa tunakosea, hakuna mkamilifu chini ya jua, hata wewe una mapungufu.
So remain Calm!
 
Huu ndio ukweli halisi!
Mheshimiwa Luhaga Mpina,mbunge wa Jimbo la kisesa,alijitoa kafara,bila kupepesa macho bungeni,na kuichana Live,serikali ya chama chake cha CCM.

Akatohoa kila kitu kutokana ndhila wanayopitia watanzania.
Kutokana na upandaji holela wa bei za bidhaa nchini.

Lissu na Chadema meelewe hilo!

Suala la mfumko wa bei,Lissu na Chadema wamedandia hoja ambayo tayari,wabunge wa CCM yenyewe!, walikwisha liona na kuibana serikali hii,ambayo imelalia kwa Upper Class na walamba asali.

Badala ya wananchi na wapiga kura!

Tuaenda kwa hoja na uthibitisho mpaka kieleweke!

Na wakati Mpina akijitoa muhanga!takribani miezi nane iliyopita!

Lissu alikuwa akipigania kulipwa mafao yake,akiwa huko huko Ulaya,nchini Ubelgiji!

Lakini #Mpina alikuwa hapahapa, tena ndani ya bunge, akiichachafya serikali ya chama ambacho ndio pia kimempa nafasi ya kugombea ubunge na kuupata!

Na hilo limemgharimu mpaka kufyekwa jina lake, katika kugombea kuwa mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM pamoja na U-NEC wa CCM.

My take!

Hawa watu kama Mpina!
Ndio waterezi halisi wa wananchi ambao tunaowataka Tanzania hii.

Na sio wale cwa Msimu kama Lissu,wanaogeresha,huku familia zao zikiwa Ughaibuni.

Na wakishakosa malengo yao wanarudi Ulaya kama kawaida yao.

Asubuhi njema!
10101.

Achana na Mpina ,mbona miaka 6 ya mwendazake hakuwahi sema kitu?

Hata yeye huoni Ni wa msimu pia?
 
Punguza wivu na makasirikio. Lissu atawanyoosha mpaka mkome.
 
uala la mfumko wa bei,Lissu na Chadema wamedandia hoja ambayo tayari,wabunge wa CCM yenyewe!, walikwisha liona na kuibana serikali hii,ambayo imelalia kwa Upper Class na walamba asali.
Sijui kama unajua ulichoandika! Ni vyema uwe unasoma tena ulichoandika kabla ya kurusha kuliko kukurupuka kama uharo!
 
Sawa umesema

Huu ndio ukweli halisi!
Mheshimiwa Luhaga Mpina,mbunge wa Jimbo la kisesa,alijitoa kafara,bila kupepesa macho bungeni,na kuichana Live,serikali ya chama chake cha CCM.

Akatohoa kila kitu kutokana ndhila wanayopitia watanzania.
Kutokana na upandaji holela wa bei za bidhaa nchini.

Lissu na Chadema meelewe hilo!

Suala la mfumko wa bei,Lissu na Chadema wamedandia hoja ambayo tayari,wabunge wa CCM yenyewe!, walikwisha liona na kuibana serikali hii,ambayo imelalia kwa Upper Class na walamba asali.

Badala ya wananchi na wapiga kura!

Tuaenda kwa hoja na uthibitisho mpaka kieleweke!

Na wakati Mpina akijitoa muhanga!takribani miezi nane iliyopita!

Lissu alikuwa akipigania kulipwa mafao yake,akiwa huko huko Ulaya,nchini Ubelgiji!

Lakini #Mpina alikuwa hapahapa, tena ndani ya bunge, akiichachafya serikali ya chama ambacho ndio pia kimempa nafasi ya kugombea ubunge na kuupata!

Na hilo limemgharimu mpaka kufyekwa jina lake, katika kugombea kuwa mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM pamoja na U-NEC wa CCM.

My take!

Hawa watu kama Mpina!
Ndio waterezi halisi wa wananchi ambao tunaowataka Tanzania hii.

Na sio wale cwa Msimu kama Lissu,wanaogeresha,huku familia zao zikiwa Ughaibuni.

Na wakishakosa malengo yao wanarudi Ulaya kama kawaida yao.

Asubuhi njema!
10101.

Sawa umesema miezi 8 iliyopita toka kasema Mpina mfumuko wa bei umeshuka? Kama Lissu kalisemea tena ni kwa nia njema tu,ni hilo tu
 
Swali la kujiuliza hilo tatizo aliloliongelea Mpina limeisha?
Na kama lipo je Mpina ana hati miliki yake?
Tufike mahali tuache kupopoana bila sababu! Lissu kaongelea mfumuko wa bei ambao bado upo, na hata wewe mkuu panda jukwaani paza sauti mfumuko wa bei bado upo juu hali ni mbaya mkuu.
 
Back
Top Bottom