Ni ukweli usiopingika kuwa Mzee Mbowe na Lema ni ndugu wa karibu kabisa na wametoka eneo moja (Machame).
Pamoja na ukaribu huu ,Mzee Mbowe hakuwahi kumtegemea Lema kama mshauri wake wa kisaasa kutokana na sababu zifiatazo;
1.Lema anaao upeo mdogo sana wa kufikiri kutokana na kushindwa kujiendeleza baada ya kufeli kidato cha nne,
2. kutokana na upeo wake kuwa mdogo amekuwa akiropoka mara kwa mara bila mpangilio wowote(kichaa nusu),
3.Imani yake kuwa yoyote alie kinyume na mawazo yake na ya CDM hana akili .Kwa ufupi huu ni uwendawazimu .
Kwa maana hiyo ,Lissu achana na huyu jamaa vinginevyo, kila unapochukua ushauri wake unakuwa umerudisha chama miaka kumi nyuma .