Kiongozi mkuu2020
JF-Expert Member
- Aug 8, 2020
- 1,747
- 998
Mbona hata hapa makambako, amenikuta, ameishia kubwabwaja eti kuna rami moja tuuu, kilichofuata nimweleka wake wa juukwaani akasepa zakeNa watu wanamfata na kumsikiliza, means sio kila mtu Ana Aina ya mawazo yako
Mbona hata hapa makambako, amenikuta, ameishia kubwabwaja eti kuna rami moja tuuu, kilichofuata nimweleka wake wa juukwaani akasepa zake
Lisu sera yake ni matusi
Huko ni kujidhalilisha mkuu,Nenda kwenye sera za ubwabwa
Kusema KOROSHO ziliporwa ni chuki? Siyo kweli?Yeye na chama chake hawana sera ! Maneno yamewaishia wanaanza ku rewind! Wamejaa chuki.
Bongo fleva ninafuuu kuliko kwenda kuambulia matusiAcha chuki basi kijana, utaanza kuwa mchawi Bure,
Kama unaona Hana sera wala ajakuvutia weka 🎧 Sikiliza bongo flava
Bora anayewasema na sii kwa kificho, lengo wakiri pale walipokosea na wajirekebishe, kuliko anaye tweza utu wa watu.Nimemsikiliza Lissu akimshambulia Deo Mwanyika, nimesikitika sana, nimejiuliza huyu mtu anayeitwa Lissu anamatatizo gani? Sote tunajua Deo alipata shida kwa kudhaniwa anauhusiano na Lissu. Sasa bado tu anamwandama, hivi hamna namna Lissu akafanya kampeni bila kutuhumu mtu? Siasa gani za hovyo anazofanya?
Lissu huyuhuyu aliyokuwa bungeni aliwashambulia kwa maneno makali Prof Tibaijuka Anko Rugemarila na Askofu Kilaini bado tu anaendeleza haya mambo? Akiwa Rais atakuwa mtu wa namna gani?
Bongo fleva ninafuuu kuliko kwenda kuambulia matusi
Huko ni kujidhalilisha mkuu,
Mimi natoka kabila la wafugaji Ubwabwa nimekuja ufahamu huku pwani.
Unanyambia nyambiaYeye na chama chake hawana sera ! Maneno yamewaishia wanaanza ku rewind! Wamejaa chuki.
Hizi Sera hana, maana yamtokayo mdomoni ndio yaliyomjaa moyoni mwake.Atavuna apandacho kwenye box la kura.Nimemsikiliza Lissu akimshambulia Deo Mwanyika, nimesikitika sana, nimejiuliza huyu mtu anayeitwa Lissu anamatatizo gani? Sote tunajua Deo alipata shida kwa kudhaniwa anauhusiano na Lissu. Sasa bado tu anamwandama, hivi hamna namna Lissu akafanya kampeni bila kutuhumu mtu? Siasa gani za hovyo anazofanya?
Lissu huyuhuyu aliyokuwa bungeni aliwashambulia kwa maneno makali Prof Tibaijuka Anko Rugemarila na Askofu Kilaini bado tu anaendeleza haya mambo? Akiwa Rais atakuwa mtu wa namna gani?
Hovyo kabisa , mtu mzima hajiheshimu.Okay enjoy basi Kaka, sie tuache tusikilize matusi, kupanga ni kuchagua
HAKUNA KIPINDI CHADEMA WAMEKOSA MGOMBEA KAMA KIPINDI HIKI.Hizi Sera hana, maana yamtokayo mdomoni ndio yaliyomjaa moyoni mwake.Atavuna apandacho kwenye box la kura.
Kwahiyo kusema uwanja wa chato ni umbeaChadema chama cha wambeya wa kusema watu, bila umbeya chadema haipo
Nimemsikiliza Lissu akimshambulia Deo Mwanyika, nimesikitika sana, nimejiuliza huyu mtu anayeitwa Lissu anamatatizo gani? Sote tunajua Deo alipata shida kwa kudhaniwa anauhusiano na Lissu. Sasa bado tu anamwandama, hivi hamna namna Lissu akafanya kampeni bila kutuhumu mtu? Siasa gani za hovyo anazofanya?
Lissu huyuhuyu aliyokuwa bungeni aliwashambulia kwa maneno makali Prof Tibaijuka Anko Rugemarila na Askofu Kilaini bado tu anaendeleza haya mambo? Akiwa Rais atakuwa mtu wa namna gani?