Lissu acha kushambulia watu, nadi sera zako watu wakuelewe

Nimemsikiliza Lissu akimshambulia Deo Mwanyika, nimesikitika sana, nimejiuliza huyu mtu anayeitwa Lissu anamatatizo gani? Sote tunajua Deo alipata shida kwa kudhaniwa anauhusiano na Lissu. Sasa bado tu anamwandama, hivi hamna namna Lissu akafanya kampeni bila kutuhumu mtu? Siasa gani za hovyo anazofanya?

Lissu huyuhuyu aliyokuwa bungeni aliwashambulia kwa maneno makali Prof Tibaijuka Anko Rugemarila na Askofu Kilaini bado tu anaendeleza haya mambo? Akiwa Rais atakuwa mtu wa namna gani?
Najua tu Lissu akiwa Rais lazima awaweke watu ndani. Atalipa kisasi. Lets wait.
 
Nimemsikiliza Lissu akimshambulia Deo Mwanyika, nimesikitika sana, nimejiuliza huyu mtu anayeitwa Lissu anamatatizo gani? Sote tunajua Deo alipata shida kwa kudhaniwa anauhusiano na Lissu. Sasa bado tu anamwandama, hivi hamna namna Lissu akafanya kampeni bila kutuhumu mtu? Siasa gani za hovyo anazofanya?

Lissu huyuhuyu aliyokuwa bungeni aliwashambulia kwa maneno makali Prof Tibaijuka Anko Rugemarila na Askofu Kilaini bado tu anaendeleza haya mambo? Akiwa Rais atakuwa mtu wa namna gani?
Ulitaka afurahi naye kwa kutumika?
Deo alipashwa akumbuke fadhila
Njombe sio chattle
Wakinga Wabena Wapangwa wakimya lakini.......... unaweza ukahama bila kufukuzwa
 
Vumilia Kaka, ndio siasa hizo

Tatizo mnataka kuleta molden politics, hakuna Hiko kitu

Hata magufuli anamsema vibaya Lisu so ndio siasa

Watu walikaa miaka 5 kimya acha waseme
Mku siku nyingi wamemic majukwaaaaaa!!! Acha wateme nyongo!
 
Jana hiyo
Screenshot_20200916-132649.jpg
Screenshot_20200916-132645.jpg
Screenshot_20200916-132631.jpg
Screenshot_20200916-132606.jpg
Screenshot_20200916-131414.jpg
Screenshot_20200916-132621.jpg
 
Nimemsikiliza Lissu akimshambulia Deo Mwanyika, nimesikitika sana, nimejiuliza huyu mtu anayeitwa Lissu anamatatizo gani? Sote tunajua Deo alipata shida kwa kudhaniwa anauhusiano na Lissu. Sasa bado tu anamwandama, hivi hamna namna Lissu akafanya kampeni bila kutuhumu mtu? Siasa gani za hovyo anazofanya?

Lissu huyuhuyu aliyokuwa bungeni aliwashambulia kwa maneno makali Prof Tibaijuka Anko Rugemarila na Askofu Kilaini bado tu anaendeleza haya mambo? Akiwa Rais atakuwa mtu wa namna gani?
Kunadi SERA lazima kuendane na mifano ya makosa yaliyofanywa na kuwataja waliofanya.

Hizi za Tundu Lisu tunaita " SERA HALISI".

Huwezi kusema tu nitatekebisha mafao ya wafanyakazi bila kueleza mafao ya sasa yana kasoro gani na nani kasababisha.

TULIENI DAWA IINGIE.
 
Nimemsikiliza Lissu akimshambulia Deo Mwanyika, nimesikitika sana, nimejiuliza huyu mtu anayeitwa Lissu anamatatizo gani? Sote tunajua Deo alipata shida kwa kudhaniwa anauhusiano na Lissu. Sasa bado tu anamwandama, hivi hamna namna Lissu akafanya kampeni bila kutuhumu mtu? Siasa gani za hovyo anazofanya?

Lissu huyuhuyu aliyokuwa bungeni aliwashambulia kwa maneno makali Prof Tibaijuka Anko Rugemarila na Askofu Kilaini bado tu anaendeleza haya mambo? Akiwa Rais atakuwa mtu wa namna gani?
Tulieni mkamuliwe jipu lenu mpone fresh
 
Attachments

  • FB_IMG_1596970740939.jpg
    FB_IMG_1596970740939.jpg
    14.1 KB · Views: 8
Nimemsikiliza Lissu akimshambulia Deo Mwanyika, nimesikitika sana, nimejiuliza huyu mtu anayeitwa Lissu anamatatizo gani? Sote tunajua Deo alipata shida kwa kudhaniwa anauhusiano na Lissu. Sasa bado tu anamwandama, hivi hamna namna Lissu akafanya kampeni bila kutuhumu mtu? Siasa gani za hovyo anazofanya?

Lissu huyuhuyu aliyokuwa bungeni aliwashambulia kwa maneno makali Prof Tibaijuka Anko Rugemarila na Askofu Kilaini bado tu anaendeleza haya mambo? Akiwa Rais atakuwa mtu wa namna gani?
Huyu hakika ni kama jonas savimbi wa angola sema tanzania ni nchi tofauti. Lissu kama savimbi ni muongo mroho na msujudu wazungu na ni kibaraka. Asipodhibitiwa anaweza leta shida kwani kila anapoenda anazua uongo na kufanya uchochezi hatari kwa amani ya nchi.
 
Haya basi nitakuamini ww uliyejenga uwanja wa ndege chato unaetua ndege moja kwa mwaka mzima

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Nimemsikiliza Lissu akimshambulia Deo Mwanyika, nimesikitika sana, nimejiuliza huyu mtu anayeitwa Lissu anamatatizo gani? Sote tunajua Deo alipata shida kwa kudhaniwa anauhusiano na Lissu. Sasa bado tu anamwandama, hivi hamna namna Lissu akafanya kampeni bila kutuhumu mtu? Siasa gani za hovyo anazofanya?

Lissu huyuhuyu aliyokuwa bungeni aliwashambulia kwa maneno makali Prof Tibaijuka Anko Rugemarila na Askofu Kilaini bado tu anaendeleza haya mambo? Akiwa Rais atakuwa mtu wa namna gani?
Utakuwa wewe ndo una tatizo.
Kushambulia mpinzani wako sio ila je amemtukana ,je amedharirisha kwa kuvunja sheria ?
Vipi Magufuli huwa kauli zake mnaziweka ktk mzania upi ?
 
sasa wewe unaejua ukweli tuambie tangu awe wakili kashinda kesi ngapi? pamoja na kuwa mwanasheria wa chadema kesi za chadema zinasimamiwa na kibatala si asimamie mwenyewe kama kweli anajua sheria

..Tundu Lissu kashinda kesi zaidi ya 300 za wananchi wa Nyamongo waliodhulumiwa na serikali na makampuni ya madini.

..wakati Lissu akihangaika kutetea wananchi, Magufuli alikuwa akiunga mkono sheria na miswada iliyokuwa ikiyapendelea makampuni makubwa ya madini.
 
wacha uwongo, kawatoa mahabusu hakushinda kesi, hawa waliopigwa na wanepali wamelipwa fidia? kule ulyankulu ile video yake aliyomkamatisha Lyatonga iko wapi?
 
Utakuwa wewe ndo una tatizo.
Kushambulia mpinzani wako sio ila je amemtukana ,je amedharirisha kwa kuvunja sheria ?
Vipi Magufuli huwa kauli zake mnaziweka ktk mzania upi ?
Deo ana upinzani gani na Lissu? kwani anagombea uraisi? ngoja uchaguzi uishe atamkoma
 
Back
Top Bottom