Lissu ni wakili atueleze ni sheria namba ngapi na kifungu kipi kilichokiukwa, haya mambo ya kutuambia kienyeji hatutaki, najua tangu awe wakili hajawahi shinda kesi hatamoja hivyo sidhani kama anajua kutafsiri sheria sawasawa.Umemsikiliza hadi mwisho maana amenadi sera barabara sasa ulitaka asiseme kuwa Mwanyika hana sifa ya kuwa mbunge kwa mujibu wa sheria za Tanzania wakati ni kweli na kwanini amepitishwa kinyume na sheria ya uchaguzi.
wacha kuchanganya mambo, nyerere hajawahi mshambulia mtu binafsi iwe kwenye jukwaa au katika mikutano yakeMoja ya wajibu muhimu kwa serikali yoyote mpya ni kusahihisha na kukomesha madudu ya serikali iliyopita. Vyama vya upinzani kueleza madudu ya serikali iliyopo kwa ahadi ya kwenda kuyashughulikia nayo ni Sera isiyoepukika.
Mfano Mwalimu Nyerere mwaka 1995 katika hotuba yake ya mustkabali wa taifa na uongozi wetu alitamka na alikosoa madudu yaliyofanywa na utawala was Ally Hassan Mwinyi na kutoa rai kuwa raisi ajaye akayashughulikie.
Hovyo kabisa , mtu mzima hajiheshimu.
Lissu ni wakili atueleze ni sheria namba ngapi na kifungu kipi kilichokiukwa, haya mambo ya kutuambia kienyeji hatutaki, najua tangu awe wakili hajawahi shinda kesi hatamoja hivyo sidhani kama anajua kutafsiri sheria sawasawa.
sasa wewe unaejua ukweli tuambie tangu awe wakili kashinda kesi ngapi? pamoja na kuwa mwanasheria wa chadema kesi za chadema zinasimamiwa na kibatala si asimamie mwenyewe kama kweli anajua sheriaLete data acha kuongea tu Kama pole pole,
Ajashinda kesi hata moja, una uhakika?
Anatuamia silaha gani kushambulia watu AK47, short gun au riffleNdio maana mie najiuliza huyu Lissu mdahalo atauweza kweli au ndio maana anamtaka Magufuli ili amshambulie kwenye huo mdahalo? Maana Lissu kitu ambacho anakimudu vizuri ni kushambulia watu.
sasa wewe unaejua ukweli tuambie tangu awe wakili kashinda kesi ngapi? pamoja na kuwa mwanasheria wa chadema kesi za chadema zinasimamiwa na kibatala si asimamie mwenyewe kama kweli anajua sheria
sasa wewe unaejua ukweli tuambie tangu awe wakili kashinda kesi ngapi? pamoja na kuwa mwanasheria wa chadema kesi za chadema zinasimamiwa na kibatala si asimamie mwenyewe kama kweli anajua sheria
Kwani lisu ana shambulia yy au alishambuliwa yeye kwa risasaNdio maana mie najiuliza huyu Lissu mdahalo atauweza kweli au ndio maana anamtaka Magufuli ili amshambulie kwenye huo mdahalo? Maana Lissu kitu ambacho anakimudu vizuri ni kushambulia watu.
Kwa hiyo unabisha kama chato hakuna uwanja wa ndege??Lessu stress zimemjaa. Kunadi sera ni uwezo na Lissu kapitishwa kutoa lawama lakini sio presidantial material.
Na tutakuwa watu wa ajabu kumpa urais mtu ambaye hajiheshimu Yeye mwenyewe!!
Nahakuna kipindi ccm wanacho teseka ktk kampeni nikipindi hichi maana hamuna jipya mumehama kwenye viwanda sasa mumehamia ktk uwanja wa chatoHAKUNA KIPINDI CHADEMA WAMEKOSA MGOMBEA KAMA KIPINDI HIKI.
mh.mbowe, ilikulinda heshima yako, ujiudhuru uongozi baada ya mgombea wako kushindwa vibayaaa. Ni ushauri tuu.
Kuna sheria kifungu 3() c kinasema uwanja wachato ni wakimataifa lkn unatua ndege moja tu tena msimu wa krismas na pasakaLissu ni wakili atueleze ni sheria namba ngapi na kifungu kipi kilichokiukwa, haya mambo ya kutuambia kienyeji hatutaki, najua tangu awe wakili hajawahi shinda kesi hatamoja hivyo sidhani kama anajua kutafsiri sheria sawasawa.
Lissu tunamsifu kwa ushujaa wake na kutokumumunya maneno, kama jiwe anaambiwa ukweli wake kuhusu ufisadi anaofanya huyo Mnyika ni nani? Tunakupata Lissu endelea mbele.Nimemsikiliza Lissu akimshambulia Deo Mwanyika, nimesikitika sana, nimejiuliza huyu mtu anayeitwa Lissu anamatatizo gani? Sote tunajua Deo alipata shida kwa kudhaniwa anauhusiano na Lissu. Sasa bado tu anamwandama, hivi hamna namna Lissu akafanya kampeni bila kutuhumu mtu? Siasa gani za hovyo anazofanya?
Lissu huyuhuyu aliyokuwa bungeni aliwashambulia kwa maneno makali Prof Tibaijuka Anko Rugemarila na Askofu Kilaini bado tu anaendeleza haya mambo? Akiwa Rais atakuwa mtu wa namna gani?
Siasa za watu na viatuNimemsikiliza Lissu akimshambulia Deo Mwanyika, nimesikitika sana, nimejiuliza huyu mtu anayeitwa Lissu anamatatizo gani? Sote tunajua Deo alipata shida kwa kudhaniwa anauhusiano na Lissu. Sasa bado tu anamwandama, hivi hamna namna Lissu akafanya kampeni bila kutuhumu mtu? Siasa gani za hovyo anazofanya?
Lissu huyuhuyu aliyokuwa bungeni aliwashambulia kwa maneno makali Prof Tibaijuka Anko Rugemarila na Askofu Kilaini bado tu anaendeleza haya mambo? Akiwa Rais atakuwa mtu wa namna gani?
Ukweli unatabia moja... Haujifichi...Yeye na chama chake hawana sera ! Maneno yamewaishia wanaanza ku rewind! Wamejaa chuki.
Una mtindio wa ubongo?Nimemsikiliza Lissu akimshambulia Deo Mwanyika, nimesikitika sana, nimejiuliza huyu mtu anayeitwa Lissu anamatatizo gani? Sote tunajua Deo alipata shida kwa kudhaniwa anauhusiano na Lissu. Sasa bado tu anamwandama, hivi hamna namna Lissu akafanya kampeni bila kutuhumu mtu? Siasa gani za hovyo anazofanya?
Lissu huyuhuyu aliyokuwa bungeni aliwashambulia kwa maneno makali Prof Tibaijuka Anko Rugemarila na Askofu Kilaini bado tu anaendeleza haya mambo? Akiwa Rais atakuwa mtu wa namna gani?
Wananchi wa Bukoba naomba wawawekee sehemu maalumu Peponi . Leo wamemwambia Meko mubashara kabisa “Hatukutaki” wala hatutakupigia kura! TBC wamekata kipande Meko anabishana na wananchi mapovu yanammwagika tuu! Kwani ni lazima wananchi wakukubali mzee?Yeye na chama chake hawana sera ! Maneno yamewaishia wanaanza ku rewind! Wamejaa chuki.