Najua tu Lissu akiwa Rais lazima awaweke watu ndani. Atalipa kisasi. Lets wait.Nimemsikiliza Lissu akimshambulia Deo Mwanyika, nimesikitika sana, nimejiuliza huyu mtu anayeitwa Lissu anamatatizo gani? Sote tunajua Deo alipata shida kwa kudhaniwa anauhusiano na Lissu. Sasa bado tu anamwandama, hivi hamna namna Lissu akafanya kampeni bila kutuhumu mtu? Siasa gani za hovyo anazofanya?
Lissu huyuhuyu aliyokuwa bungeni aliwashambulia kwa maneno makali Prof Tibaijuka Anko Rugemarila na Askofu Kilaini bado tu anaendeleza haya mambo? Akiwa Rais atakuwa mtu wa namna gani?
Ulitaka afurahi naye kwa kutumika?Nimemsikiliza Lissu akimshambulia Deo Mwanyika, nimesikitika sana, nimejiuliza huyu mtu anayeitwa Lissu anamatatizo gani? Sote tunajua Deo alipata shida kwa kudhaniwa anauhusiano na Lissu. Sasa bado tu anamwandama, hivi hamna namna Lissu akafanya kampeni bila kutuhumu mtu? Siasa gani za hovyo anazofanya?
Lissu huyuhuyu aliyokuwa bungeni aliwashambulia kwa maneno makali Prof Tibaijuka Anko Rugemarila na Askofu Kilaini bado tu anaendeleza haya mambo? Akiwa Rais atakuwa mtu wa namna gani?
Mku siku nyingi wamemic majukwaaaaaa!!! Acha wateme nyongo!Vumilia Kaka, ndio siasa hizo
Tatizo mnataka kuleta molden politics, hakuna Hiko kitu
Hata magufuli anamsema vibaya Lisu so ndio siasa
Watu walikaa miaka 5 kimya acha waseme
Mku siku nyingi wamemic majukwaaaaaa!!! Acha wateme nyongo!
Clip ndo mdudu gani?? Miimi Niko na huyu mzee wa kiki wenu, aliambulia kula mweleka wa juukwaanii halafu akasepa zake.Hahaha Kaka si usikilize clip za pole pole na bashiru?
Kunadi SERA lazima kuendane na mifano ya makosa yaliyofanywa na kuwataja waliofanya.Nimemsikiliza Lissu akimshambulia Deo Mwanyika, nimesikitika sana, nimejiuliza huyu mtu anayeitwa Lissu anamatatizo gani? Sote tunajua Deo alipata shida kwa kudhaniwa anauhusiano na Lissu. Sasa bado tu anamwandama, hivi hamna namna Lissu akafanya kampeni bila kutuhumu mtu? Siasa gani za hovyo anazofanya?
Lissu huyuhuyu aliyokuwa bungeni aliwashambulia kwa maneno makali Prof Tibaijuka Anko Rugemarila na Askofu Kilaini bado tu anaendeleza haya mambo? Akiwa Rais atakuwa mtu wa namna gani?
Clip ndo mdudu gani?? Miimi Niko na huyu mzee wa kiki wenu, aliambulia kula mweleka wa juukwaanii halafu akasepa zake.
HUYO MZEE WA MIELEKA WA CHADEMA, NDO AITESE CCM?Nahakuna kipindi ccm wanacho teseka ktk kampeni nikipindi hichi maana hamuna jipya mumehama kwenye viwanda sasa mumehamia ktk uwanja wa chato
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Tulieni mkamuliwe jipu lenu mpone freshNimemsikiliza Lissu akimshambulia Deo Mwanyika, nimesikitika sana, nimejiuliza huyu mtu anayeitwa Lissu anamatatizo gani? Sote tunajua Deo alipata shida kwa kudhaniwa anauhusiano na Lissu. Sasa bado tu anamwandama, hivi hamna namna Lissu akafanya kampeni bila kutuhumu mtu? Siasa gani za hovyo anazofanya?
Lissu huyuhuyu aliyokuwa bungeni aliwashambulia kwa maneno makali Prof Tibaijuka Anko Rugemarila na Askofu Kilaini bado tu anaendeleza haya mambo? Akiwa Rais atakuwa mtu wa namna gani?
Huyu hakika ni kama jonas savimbi wa angola sema tanzania ni nchi tofauti. Lissu kama savimbi ni muongo mroho na msujudu wazungu na ni kibaraka. Asipodhibitiwa anaweza leta shida kwani kila anapoenda anazua uongo na kufanya uchochezi hatari kwa amani ya nchi.Nimemsikiliza Lissu akimshambulia Deo Mwanyika, nimesikitika sana, nimejiuliza huyu mtu anayeitwa Lissu anamatatizo gani? Sote tunajua Deo alipata shida kwa kudhaniwa anauhusiano na Lissu. Sasa bado tu anamwandama, hivi hamna namna Lissu akafanya kampeni bila kutuhumu mtu? Siasa gani za hovyo anazofanya?
Lissu huyuhuyu aliyokuwa bungeni aliwashambulia kwa maneno makali Prof Tibaijuka Anko Rugemarila na Askofu Kilaini bado tu anaendeleza haya mambo? Akiwa Rais atakuwa mtu wa namna gani?
Anatumia mdomo.Anatuamia silaha gani kushambulia watu AK47, short gun au riffle
Lissu kushambulia watu kwa kutumia mdomo wake ule ameanza muda sana kabla hata yeye hajashambuliwa kwa silaha.Kwani lisu ana shambulia yy au alishambuliwa yeye kwa risasa
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Haya basi nitakuamini ww uliyejenga uwanja wa ndege chato unaetua ndege moja kwa mwaka mzimaHuyu hakika ni kama jonas savimbi wa angola sema tanzania ni nchi tofauti. Lissu kama savimbi ni muongo mroho na msujudu wazungu na ni kibaraka. Asipodhibitiwa anaweza leta shida kwani kila anapoenda anazua uongo na kufanya uchochezi hatari kwa amani ya nchi.
Kwahiyo nyinyi mukaamua mumshambulie kwa silaha kwa sababu hamuna hoja za kumpinga?Lissu kushambulia watu kwa kutumia mdomo wake ule ameanza muda sana kabla hata yeye hajashambuliwa kwa silaha.
Utakuwa wewe ndo una tatizo.Nimemsikiliza Lissu akimshambulia Deo Mwanyika, nimesikitika sana, nimejiuliza huyu mtu anayeitwa Lissu anamatatizo gani? Sote tunajua Deo alipata shida kwa kudhaniwa anauhusiano na Lissu. Sasa bado tu anamwandama, hivi hamna namna Lissu akafanya kampeni bila kutuhumu mtu? Siasa gani za hovyo anazofanya?
Lissu huyuhuyu aliyokuwa bungeni aliwashambulia kwa maneno makali Prof Tibaijuka Anko Rugemarila na Askofu Kilaini bado tu anaendeleza haya mambo? Akiwa Rais atakuwa mtu wa namna gani?
sasa wewe unaejua ukweli tuambie tangu awe wakili kashinda kesi ngapi? pamoja na kuwa mwanasheria wa chadema kesi za chadema zinasimamiwa na kibatala si asimamie mwenyewe kama kweli anajua sheria
wacha uwongo, kawatoa mahabusu hakushinda kesi, hawa waliopigwa na wanepali wamelipwa fidia? kule ulyankulu ile video yake aliyomkamatisha Lyatonga iko wapi?..Tundu Lissu kashinda kesi zaidi ya 300 za wananchi wa Nyamongo waliodhulumiwa na serikali na makampuni ya madini.
..wakati Lissu akihangaika kutetea wananchi, Magufuli alikuwa akiunga mkono sheria na miswada iliyokuwa ikiyapendelea makampuni makubwa ya madini.
Deo ana upinzani gani na Lissu? kwani anagombea uraisi? ngoja uchaguzi uishe atamkomaUtakuwa wewe ndo una tatizo.
Kushambulia mpinzani wako sio ila je amemtukana ,je amedharirisha kwa kuvunja sheria ?
Vipi Magufuli huwa kauli zake mnaziweka ktk mzania upi ?