900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 9,485
- 11,556
Acha utopolo we mataga kati ya wagombea wote 17 mpaka sasa mgombea pekee anayetoa sera nakueleweka kwa wepesi kila mahali aendako ni Tundu Lisu pekee.Nimemsikiliza Lissu akimshambulia Deo Mwanyika, nimesikitika sana, nimejiuliza huyu mtu anayeitwa Lissu anamatatizo gani? Sote tunajua Deo alipata shida kwa kudhaniwa anauhusiano na Lissu. Sasa bado tu anamwandama, hivi hamna namna Lissu akafanya kampeni bila kutuhumu mtu? Siasa gani za hovyo anazofanya?
Lissu huyuhuyu aliyokuwa bungeni aliwashambulia kwa maneno makali Prof Tibaijuka Anko Rugemarila na Askofu Kilaini bado tu anaendeleza haya mambo? Akiwa Rais atakuwa mtu wa namna gani?
Nani kashambuliwa? Weka hapa maneno aliyowashambulia nayo.Nimemsikiliza Lissu akimshambulia Deo Mwanyika, nimesikitika sana, nimejiuliza huyu mtu anayeitwa Lissu anamatatizo gani? Sote tunajua Deo alipata shida kwa kudhaniwa anauhusiano na Lissu. Sasa bado tu anamwandama, hivi hamna namna Lissu akafanya kampeni bila kutuhumu mtu? Siasa gani za hovyo anazofanya?
Lissu huyuhuyu aliyokuwa bungeni aliwashambulia kwa maneno makali Prof Tibaijuka Anko Rugemarila na Askofu Kilaini bado tu anaendeleza haya mambo? Akiwa Rais atakuwa mtu wa namna gani?
Najua tu Lissu akiwa Rais lazima awaweke watu ndani. Atalipa kisasi. Lets wait.
wacha uwongo, kawatoa mahabusu hakushinda kesi, hawa waliopigwa na wanepali wamelipwa fidia? kule ulyankulu ile video yake aliyomkamatisha Lyatonga iko wapi?
Nyie mara mzomewe ukoNimemsikiliza Lissu akimshambulia Deo Mwanyika, nimesikitika sana, nimejiuliza huyu mtu anayeitwa Lissu anamatatizo gani? Sote tunajua Deo alipata shida kwa kudhaniwa anauhusiano na Lissu. Sasa bado tu anamwandama, hivi hamna namna Lissu akafanya kampeni bila kutuhumu mtu? Siasa gani za hovyo anazofanya?
Lissu huyuhuyu aliyokuwa bungeni aliwashambulia kwa maneno makali Prof Tibaijuka Anko Rugemarila na Askofu Kilaini bado tu anaendeleza haya mambo? Akiwa Rais atakuwa mtu wa namna gani?
Kwahiyo nyinyi mukaamua mumshambulie kwa silaha kwa sababu hamuna hoja za kumpinga?
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Nyoosha maelezo, kasemaje kuhusu Mwanyika?Nimemsikiliza Lissu akimshambulia Deo Mwanyika, nimesikitika sana, nimejiuliza huyu mtu anayeitwa Lissu anamatatizo gani? Sote tunajua Deo alipata shida kwa kudhaniwa anauhusiano na Lissu. Sasa bado tu anamwandama, hivi hamna namna Lissu akafanya kampeni bila kutuhumu mtu? Siasa gani za hovyo anazofanya?
Lissu huyuhuyu aliyokuwa bungeni aliwashambulia kwa maneno makali Prof Tibaijuka Anko Rugemarila na Askofu Kilaini bado tu anaendeleza haya mambo? Akiwa Rais atakuwa mtu wa namna gani?
Nyoosha maelezo, kasemaje kuhusu Mwanyika?
Kama ni kuhusu uhujumu uchumi, kwai ni uongo Mwanyika hajahukumiwa kwa kesi ya kukwepa kodi na uhujumu uchumi?
Kwani ni uongo sheria ya uchaguzi haitamki kuwa mtu yoyote aliyewahi kukutwa na hatia kwa makosa ya ukwepaji kodi hana sifa ya kugombea??
Mgombea wa CCM anitaka Tume ya uchaguzi isimkabidhi nchi Lissu! Sasa kura za nini?Nimemsikiliza Lissu akimshambulia Deo Mwanyika, nimesikitika sana, nimejiuliza huyu mtu anayeitwa Lissu anamatatizo gani? Sote tunajua Deo alipata shida kwa kudhaniwa anauhusiano na Lissu. Sasa bado tu anamwandama, hivi hamna namna Lissu akafanya kampeni bila kutuhumu mtu? Siasa gani za hovyo anazofanya?
Lissu huyuhuyu aliyokuwa bungeni aliwashambulia kwa maneno makali Prof Tibaijuka Anko Rugemarila na Askofu Kilaini bado tu anaendeleza haya mambo? Akiwa Rais atakuwa mtu wa namna gani?
Santuri hiyo ilishachokwa siku nyingiCHAGGA DEVELOPMENT MANIFESTO.
Kuhusu polisi kumyaka Lissu aeleze jinsi alivyoshambuliwa! Hivi mtu mwenye akili timamu unaweza ukasema aliyeshambuliwa risasi 36 baada alikuwa na fahamu! Risasi moja tu mtu unaenda kaputi, mbona hauwasemi hawa?Lissu amemshambulia hadi marehemu Mwalimu Nyerere,sasa marehemu angeweza vp kujibu mashabulizi ya Lissu?
Lissu hivyo ndio alivyo ndio matatizo yake.
Santuri hiyo ilishachokwa siku nyingi, haina mvuto tena.CHAGGA DEVELOPMENT MANIFESTO.
Anachofanya Lissu ni kusema yale ambayo wananchi wasingeweza kuyasema kwa hofu ya Magu! Ni wangapi wako magerezani kwa sababu ya kuthubutu kusema haya ambayo Lissu anayasema? Ni Wangapi ambao wamefunguliwa kesi za kuonewa mfano Utakatishaji wa fedha kisa kumwambia ukweli Magufuri?Nimemsikiliza Lissu akimshambulia Deo Mwanyika, nimesikitika sana, nimejiuliza huyu mtu anayeitwa Lissu anamatatizo gani? Sote tunajua Deo alipata shida kwa kudhaniwa anauhusiano na Lissu. Sasa bado tu anamwandama, hivi hamna namna Lissu akafanya kampeni bila kutuhumu mtu? Siasa gani za hovyo anazofanya?
Lissu huyuhuyu aliyokuwa bungeni aliwashambulia kwa maneno makali Prof Tibaijuka Anko Rugemarila na Askofu Kilaini bado tu anaendeleza haya mambo? Akiwa Rais atakuwa mtu wa namna gani?
wacha awakomeshe bana.Nimemsikiliza Lissu akimshambulia Deo Mwanyika, nimesikitika sana, nimejiuliza huyu mtu anayeitwa Lissu anamatatizo gani? Sote tunajua Deo alipata shida kwa kudhaniwa anauhusiano na Lissu. Sasa bado tu anamwandama, hivi hamna namna Lissu akafanya kampeni bila kutuhumu mtu? Siasa gani za hovyo anazofanya?
Lissu huyuhuyu aliyokuwa bungeni aliwashambulia kwa maneno makali Prof Tibaijuka Anko Rugemarila na Askofu Kilaini bado tu anaendeleza haya mambo? Akiwa Rais atakuwa mtu wa namna gani?
Anaelezea jinsi ccm ambavyo hamheshimu sheria za nchi huyu mwanyika hakutakiwa kuwa mgombea.billion moja aliyolipa kwa DPP kwa kukili makosa ya uhujumu uchumi.ccm mbona vilaza sana ninyi?Nimemsikiliza Lissu akimshambulia Deo Mwanyika, nimesikitika sana, nimejiuliza huyu mtu anayeitwa Lissu anamatatizo gani? Sote tunajua Deo alipata shida kwa kudhaniwa anauhusiano na Lissu. Sasa bado tu anamwandama, hivi hamna namna Lissu akafanya kampeni bila kutuhumu mtu? Siasa gani za hovyo anazofanya?
Lissu huyuhuyu aliyokuwa bungeni aliwashambulia kwa maneno makali Prof Tibaijuka Anko Rugemarila na Askofu Kilaini bado tu anaendeleza haya mambo? Akiwa Rais atakuwa mtu wa namna gani?
Dawa imeingia hiyo tayariChadema chama cha wambeya wa kusema watu, bila umbeya chadema haipo
Amemsaliti naniYuda iskariote hawezi kuwa raisi haitotokea kamwe na yeye binafsi anajua,na ndio maana anazidi kudata na sonoma ina zidi kumtafuna
Toa jibu amemsaliti naniUnaishi sayari ipi?
Tuambie wewe kama Deo Mwanyika hakuhukumiwa kwa kosa la kukwepa kodi?Chadema chama cha wambeya wa kusema watu, bila umbeya chadema haipo
Kwanza magufuli habari ya acaccia alishupalia ili apate ten percent nae maana aliingia akakuta mitaba ya madini wenzie walishapiga akaona na yeye aliazishe yako wapi ya makinikia pili lisu na magufuli nani kila siku anawaomba hao mnasema mabeberu mlivyo matapeli Jana tu mmewaomba hao mabeberu hela ya korona wakati huohuo mnasema korona haipo.jiulize kwa nn GGM hakuigusa kwa nn north Mara hakuigusa za kuambiwa changanya na zako vilaza wakubwa nyieKalisaliti taifa kwa kushirikiana na acaccia na kaona haitoshi sasa ameingia mkataba na mabwenyenye wa kibelgiji kuwapa rasilimali zetu kwa ahadi wamsaidie kuingia ikulu,ndio maana nikakuuliza unaishi sayari ipi labda upo sayari ya Jupiter