Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Ndugu Lissu.
Tumeziona teuzi zako, lakini hatuoni kuwa iko sahihi Lema kubaki bila kuwa na nafasi yoyote nzito ya kiuongozi hapo CHADEMA.
Huyu mtu alikuwa critical kwenye ushindi, ni kichwa makini, na ni strategist wa nguvu. Haiwezekani akabaki kuwa mjumbe wa kamati kuu tu.
Mtafutie huyu mtu nafasi kubwa hapo CHADEMA ASAP.
Jemedari kama Lema kubaki nje ya uongozi wa Chama kutachelewesha harakati zetu za kuibana CCM kutuletea katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
Mtafutie Lema nafasi ambayo atakuwa akizungumza na wananchi mara kwa mara. Tunamhitaji sana.
Kama hataki, aambiwe kuwa uwepo wake ni kwa manufaa ya Taasisi. Arudi!