Lissu acha Utani, tunataka kumuona Lema akiwa na nafasi ya maana hapo CHADEMA

Lissu acha Utani, tunataka kumuona Lema akiwa na nafasi ya maana hapo CHADEMA

Kiukweli hata mimi sijaridhika, Lema anastahili zaidi ya ujumbe wa kamati kuu.

Ndiye aliyeubeba ushindi wa Lissu.
 
Wewe unadhani ameongea bila kushauriana na Lisu?
Wale wanafahamiana na kuelewana.
Unadhani kumteua kuwa wakala wake katika uchaguzi ilikuwa ni kwa bahati mbaya?
Kabla ya kuingia Chadema, Lisu na Lema walitokea NCCR enzi hizo.
 
Halafu huwezi kutaka kuconsolidate uungwaji mkono wa CHADEMA kutoka kanda ya kaskazini ukimsideline Lema. Huo ndiyo ukweli mchungu, siupendi lakini ndiyo ukweli wenyewe.
 
Nadhani kwenye safe za uongozi wa juu CHADEMA wameamua kutokuweka Wachaga kwanza ili waliokuwa wanasema chama cha kichaga wakose hoja.
Kiukweli hata mimi sijaridhika, Lema anastahili zaidi ya ujumbe wa kamati kuu.

Ndiye aliyeubeba ushindi wa Lissu.
 
Ndugu Lissu.

Tumeziona teuzi zako, lakini hatuoni kuwa iko sahihi Lema kubaki bila kuwa na nafasi yoyote nzito ya kiuongozi hapo CHADEMA.

Huyu mtu alikuwa critical kwenye ushindi, ni kichwa makini, na ni strategist wa nguvu. Haiwezekani akabaki kuwa mjumbe wa kamati kuu tu.

Mtafutie huyu mtu nafasi kubwa hapo CHADEMA ASAP.

Jemedari kama Lema kubaki nje ya uongozi wa Chama kutachelewesha harakati zetu za kuibana CCM kutuletea katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.

Mtafutie Lema nafasi ambayo atakuwa akizungumza na wananchi mara kwa mara. Tunamhitaji sana.

Kama hataki, aambiwe kuwa uwepo wake ni kwa manufaa ya Taasisi. Arudi!
Lissu alitaka Lema awe Naibu Katibu mkuu Bara,Lakini Kwa Logic za Lema ambazo zimeeleweka Lema alichomoa hiyo nafasi na niyeye alipendekeza Jina la Brother Aman
 
Ukatibu ni mambo ya ofisini sana kusaini na kuandaa documents..hayo sio mambo ya Lema kusema ukweli
 
Hujaelewa saikolojia ya power wewe. Unaweza kuongea X ukamaanisha Y. Huyo mtu ateuliwe nafasi ya maana akigoma kukubali teuzi hapo tutajua kuwa kweli hataki. Siyo hii ya eti alitweet kusema hataki, hiyo haina nguvu sana.
Tunatofautiana Mkuu.

Wewe unaweza kuona cheo kwako ni jambo lenye prestige lakini jambo hilo likawa tofauti kwa mtu mwingine.

Kwa hiyo saikolojia yako na muono wako wa kimadaraka unaweza kuwa na tafsiri tofauti kwa mtu mwingine.
 
Mimi Sina mrengo wowote Ila lema ni kete muhimu Sana kwenye field, sijui lema kwa kumkaribia Ila namjua kupitia speech zake na kupitia video
 
Back
Top Bottom