RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Mkuu Bado nafasi zipo nyingi, anaweza wekwa hata UENEZI.Halafu huwezi kutaka kuconsolidate uungwaji mkono wa CHADEMA kutoka kanda ya kaskazini ukimsideline Lema. Huo ndiyo ukweli mchungu, siupendi lakini ndiyo ukweli wenyewe.