Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Mambo mazuri hayataki haraka. Muda upo na nafasi bado zipo.Ndugu Lissu.
Tumeziona teuzi zako, lakini hatuoni kuwa iko sahihi Lema kubaki bila kuwa na nafasi yoyote nzito ya kiuongozi hapo CHADEMA.
Huyu mtu alikuwa critical kwenye ushindi, ni kichwa makini, na ni strategist wa nguvu. Haiwezekani akabaki kuwa mjumbe wa kamati kuu tu.
Mtafutie huyu mtu nafasi kubwa hapo CHADEMA ASAP.
Jemedari kama Lema kubaki nje ya uongozi wa Chama kutachelewesha harakati zetu za kuibana CCM kutuletea katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
Mtafutie Lema nafasi ambayo atakuwa akizungumza na wananchi mara kwa mara. Tunamhitaji sana.
Kama hataki, aambiwe kuwa uwepo wake ni kwa manufaa ya Taasisi. Arudi!
Mbowe ni Mjumbe wa kudumu wa Kamati Kuu.hata mbowe nae awekwe panapostahili
Mjumbe wa kamati kuu, maana ukatibu alikataa publicly.Ndugu Lissu.
Tumeziona teuzi zako, lakini hatuoni kuwa iko sahihi Lema kubaki bila kuwa na nafasi yoyote nzito ya kiuongozi hapo CHADEMA.
Huyu mtu alikuwa critical kwenye ushindi, ni kichwa makini, na ni strategist wa nguvu. Haiwezekani akabaki kuwa mjumbe wa kamati kuu tu.
Mtafutie huyu mtu nafasi kubwa hapo CHADEMA ASAP.
Jemedari kama Lema kubaki nje ya uongozi wa Chama kutachelewesha harakati zetu za kuibana CCM kutuletea katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
Mtafutie Lema nafasi ambayo atakuwa akizungumza na wananchi mara kwa mara. Tunamhitaji sana.
Kama hataki, aambiwe kuwa uwepo wake ni kwa manufaa ya Taasisi. Arudi!
Uweka hazina utamfaa Mbowe🤣hata mbowe nae awekwe panapostahili
Nafasi ambayo Lema amewekwa ndio nafasi aliyoitaka since kwenye press yake ya kwanza.
Lema hakupenda vyeo vikubwa hata kwenye tweeter leo ameweka bayana na hiyo inathibitisha kuwa yeye si mtu wa kupagawa na vyeo.
Mbowe anasubir teuzi ya ubarozi kutoka kwa mama abdulhata mbowe nae awekwe panapostahili
Lema ni mtu na nusu.Nafasi ambayo Lema amewekwa ndio nafasi aliyoitaka since kwenye press yake ya kwanza.
Lema hakupenda vyeo vikubwa hata kwenye tweeter leo ameweka bayana na hiyo inathibitisha kuwa yeye si mtu wa kupagawa na vyeo.
Nakuunga mkono, LEMA yupo active sana kwenye kuhabarisha hivyo kitengo cha UKURUGENZI WA ITIKADI, USEMAJI NA UENEZI unamfaa sana.Lema anafaa zaidi field, kazi za ground
Kitengo cha usemaji, Itikadi, Uendezi, n.k. vitamfaa zaidi
Waarabu wa pemba wanajuna kwa vilembaNdugu Lissu.
Tumeziona teuzi zako, lakini hatuoni kuwa iko sahihi Lema kubaki bila kuwa na nafasi yoyote nzito ya kiuongozi hapo CHADEMA.
Huyu mtu alikuwa critical kwenye ushindi, ni kichwa makini, na ni strategist wa nguvu. Haiwezekani akabaki kuwa mjumbe wa kamati kuu tu.
Mtafutie huyu mtu nafasi kubwa hapo CHADEMA ASAP.
Jemedari kama Lema kubaki nje ya uongozi wa Chama kutachelewesha harakati zetu za kuibana CCM kutuletea katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
Mtafutie Lema nafasi ambayo atakuwa akizungumza na wananchi mara kwa mara. Tunamhitaji sana.
Kama hataki, aambiwe kuwa uwepo wake ni kwa manufaa ya Taasisi. Arudi!
Mnyika alikuwa anatimiza majukumu yake, ila lema ndiye aliyecheza kama peleKati ya Mnyika na Lema nani amecheza kama pere?
Wewe unadhani ameongea bila kushauriana na Lisu?Hujaelewa saikolojia ya power wewe. Unaweza kuongea X ukamaanisha Y. Huyo mtu ateuliwe nafasi ya maana akigoma kukubali teuzi hapo tutajua kuwa kweli hataki. Siyo hii ya eti alitweet kusema hataki, hiyo hsina nguvu sana.
Mnyika ndiye aliyewapeleka Mbowe na Lisu Kanisa Moja Takatifu La Mitume kupatanishwaMnyika alikuwa anatimiza majukumu yake, ila lema ndiye aliyecheza kama pele