RUSTEM PASHA JF-Expert Member Joined Jan 26, 2016 Posts 4,707 Reaction score 11,365 Jan 22, 2025 #41 Missile of the Nation said: Halafu huwezi kutaka kuconsolidate uungwaji mkono wa CHADEMA kutoka kanda ya kaskazini ukimsideline Lema. Huo ndiyo ukweli mchungu, siupendi lakini ndiyo ukweli wenyewe. Click to expand... Mkuu Bado nafasi zipo nyingi, anaweza wekwa hata UENEZI.
Missile of the Nation said: Halafu huwezi kutaka kuconsolidate uungwaji mkono wa CHADEMA kutoka kanda ya kaskazini ukimsideline Lema. Huo ndiyo ukweli mchungu, siupendi lakini ndiyo ukweli wenyewe. Click to expand... Mkuu Bado nafasi zipo nyingi, anaweza wekwa hata UENEZI.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Jan 22, 2025 #42 Duh aiseee
Wildchild JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 19,411 Reaction score 21,938 Jan 22, 2025 #43 Intricate said: Uweka hazina utamfaa Mbowe🤣 Click to expand... M.kiti mstaafu kasema ni muda wa kwenda kuzisaka hivyo tumpe muda mzuri baadae asitulaumu sababu ya muda.
Intricate said: Uweka hazina utamfaa Mbowe🤣 Click to expand... M.kiti mstaafu kasema ni muda wa kwenda kuzisaka hivyo tumpe muda mzuri baadae asitulaumu sababu ya muda.