Lissu agoma kuwa kama Mbowe, agoma kuachiliwa Ikulu anataka aachiliwe mahakamani

Lissu agoma kuwa kama Mbowe, agoma kuachiliwa Ikulu anataka aachiliwe mahakamani

Lissu hataki maridhiano anachotaka ni vurugu nchi iwake moto!! Mie nashauri mahakama imwache mpaka aozee selo atatuvurugia nchi huyu haini!!
Hebu tujibu. Maridhiano, Lissu na chadema wamefanyaje mpaka wao/yeye afanye maridhiano kama unavyodai?

Anayoyapigania/madai ya Lissu ni yapi ccm wamelifanyia kazi kabla ya uchaguzi?

Lissu ametenda kosa gani kisheria mpaka akakamatwa kama mbwa? Picha ya aliyokamatwa na policcm.
downloadfile-5.jpg
 
Lissu wewe ni mwamba.
Yaani wanataka kukuachilia Kwa kupeana mkono ila unagoma.

Lissu unatunyima usingizi sisi machawa.

Hata Ikulu kwenda Ikulu kama Freeman umegoma.

Kazi yetu unakuwa ngumu sisi machawa mbele ya kimataifa.

Lissu legeza kama umetushika pabaya
Upo gerezani unatunyima usingizi
Tukikutoa utatulaza na viatu

Sisi tufanyaje na wewe Mnyanturu.
Lissu legeza kama umetushika pabaya
Upo gerezani unatunyima usingizi
Tukikutoa utatulaza na viatu😂😂😂
 
Nani amuachie Lissu? Huyo anastahili hukumu ya kunyongwa, Nyumbu acheni kujipa moyo
 
Lissu wewe ni mwamba.
Yaani wanataka kukuachilia Kwa kupeana mkono ila unagoma.

Lissu unatunyima usingizi sisi machawa.

Hata Ikulu kwenda Ikulu kama Freeman umegoma.

Kazi yetu unakuwa ngumu sisi machawa mbele ya kimataifa.

Lissu legeza kama umetushika pabaya
Upo gerezani unatunyima usingizi
Tukikutoa utatulaza na viatu

Sisi tufanyaje na wewe Mnyanturu.
A really Hero of Tanganyika. Hata sishangai kuna watu wakiona tu picha yake, wanachanganyikiwa akili. Mwamba sana huyu jamaa pamoja na Kamanda mwenzake John Heche.

Hakika Watanganyika wengi wazalendo na wapenda mabadiliko ya kweli nchini tuko upande wenu siku zote mpaka pale ukombozi wa kweli wa nchi yetu utakapo patikana.
 
Lissu ni shujaa wetu
 
Back
Top Bottom