Lissu agoma kuwa kama Mbowe, agoma kuachiliwa Ikulu anataka aachiliwe mahakamani

Lissu agoma kuwa kama Mbowe, agoma kuachiliwa Ikulu anataka aachiliwe mahakamani

Lissu hataki maridhiano anachotaka ni vurugu nchi iwake moto!! Mie nashauri mahakama imwache mpaka aozee selo atatuvurugia nchi huyu haini!!
Machawa wenzako wamesha mkubali wewe ndio unampinga huoni wewe ndio chizi, jitathmini.
 
Lissu wewe ni mwamba.
Yaani wanataka kukuachilia Kwa kupeana mkono pale jumba jeupe ila unagoma.

Lissu unatunyima usingizi sisi machawa.

Umegoma kwenda Ikulu kama Freeman umegoma.

Kazi yetu inakuwa ngumu sisi machawa mbele ya kimataifa.

Lissu legeza kamba umetushika pabaya
Upo gerezani unatunyima usingizi
Tukikutoa utatulaza na viatu

Sisi tufanyaje na wewe Mnyanturu.
Uongo unakusaidia nini?
 
Paulo akawambia,wametupiga mbele ya watu wote bila kutuhukumu,na sisi tu Warumi,tena wametutupa gerezeni;na sasa wanataka kututoa kwa siri?Sivyo lakini na waje wenyewe wakatutoe Matendo ya mitume 16:37.(je Tundu anaweza kuwa anatumia njia hii?)
 
Amani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana

epuka mambo ambayo yatakusababishia matatizo
 
Back
Top Bottom