Pre GE2025 Lissu ahoji Rais anapata wapi pesa za kugawa kwa viongozi wa dini? kwa mshahara gani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
..kuna maelfu ya viongozi wa dini hawajapata fedha za Mama Abduli.

..kwa mfano Shekhe Mkuu wa Arusha kapewa gari Range rover.

..Je, unadhani Mashekhe wa mikoa 30 iliyobaki Tanganyika hawahitaji Range rover? Je, lini watazipewa?
Usilolijua ni kama usiku wa giza
 
Tundu Lissu hajalelewa kuwa mzalendo wa dola la Tanzania.....

Rais wa nchi ni MFARIJI MKUU....nchi yetu ni ya kijamaa....ujamaa wa kiafrika....haifanani na nyingine....na hatutaki kufanana na kufananishwa na wengine.....

Dola letu ni la kipekee na huu upekee unatokana na elimu kubwa tuliyonayo juu ya sababu zilizopelekea madola KUANGUKA.....

Tundu Lissu ajue hapa si EU wala Brussels......
 
Huyo pimbi anaujua mshahara wa Rais? Wivu tu kwa kuwa yeye hayuko ktk hiyo nafasi
 
Hizo pesa zilishatengwa na Bunge lakini matumizi yake hayahojiwi hata na CAG
 
Mbowe ametumwa mara kadhaa kupeleka michango ya Rais Kwa viongozi wa dini akiwa kama Mwenyekiti wa Chadema

Kwani akitumwa kipeleka michango ni lazima ajue zimetoka wapi?

Kwa kweli hakuna Rais aliyewahi kumwaga mapesa kama Mama Abdul.
 
hizo fedha ni malipo halali zinatoka kwa kifungu cha State house miscellaneous funds
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…