pasi padinde
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 281
- 299
Very interesting ... kwamba wananchi wanamkataa mgombeavwa ccm mbele ya Magufuli, kwamba ni ishara ya Demokrasia ndani ya ccm! Usinichekeshe.
1) unalinganishaje ccm ambako kitendo cha kujitokeza kugombea urais kilitosha kumfukuzisha mtu kwenye chama, ili Magufuli apite bila kupingwa? unalinganishaje na chadema ambako kulikuwa na wagombea wngine? Unalibganishaje Magufuli kupata kura 100% za uenyekiti, ambayo hata Nyerere hakuwahi kupata?
2) Hiyo ingekuwa ni kielelezo cha demokrasia ndani ya ccm, basi Magufuli asingetoa vitisho
3) kamavunataka kujenga hoja ya kwamba hayo hayawezekani chadema, tupatie mfano hai. Maana hii ya Magufuli ikovon record.
Ila mwaka huu hata kama TUNDU HATASHINDA ILA UKWELI NI KWAMBA AMEFUNDISHA WATU WENGI SANA ELIMU YA KUJITAMBUA NA HIVYO AMEZALISHA WA AKINA LISU WENGI SANA AMBAO NI MWIBA NDANI YA CCM NA NJE YA CCM NA MWISHO UKOMBOZI UMEKARIBIA SANA