Ulianzaje kuwaamini wanasiasa?Natamani Nisingeyafuatilia mambo ya siasa toka zamani, sasa naona kero ya hizi sarakasi za kusalitiana na kusengenyana kwa watu tuliowaamini maneno na umoja wao.
Lissu kwa hili amekoseaMambo mengine ni kuyasoma na kuyaacha tu yalivyo yabakie historia.
Nyalandu alionekana tofauti kidogo wakati ule alipojiunga na CHADEMA, kwani yeye alitoka huko akiwa mbunge; tofauti kidogo na akina Sumaye.
Kundi zima lililofuatana na Lowassa wakati huo, matumaini yao yalikuwa ni juu ya Lowassa na siyo juu ya CHADEMA!
Hawa wote msimamo wao ulikuwa ni maslahi na siyo kitu kingine chochote.
Ile dhana maarufu ya Mbowe, kwamba watampokea yeyote anayetaka kujiunga na chama, bila shaka somo lake lilieleweka vizuri hadi sasa.
Ndio aina ya chama unachohubiri kinaweza kufanya mabadiliko ya kimageuzi kwenye nchi yetuKama Kuna kosa kubwa walifanya uongozi wa cdm ni kuwapokea wanasiasa maslahi wa ccm, the likes of Lowassa, Nyalandu, Msindai na takataka za aina hiyo. Mbowe angekuwa anajali uwajibikaji alipaswa kijiuzulu uenyekiti na kukiri kufanya makosa kwa kupokea hao wahuni, na kuwapa nafasi adhimu huko cdm.
Akili zimeanza kuwarudi sasa.Kama Kuna kosa kubwa walifanya uongozi wa cdm ni kuwapokea wanasiasa maslahi wa ccm, the likes of Lowassa, Nyalandu, Msindai na takataka za aina hiyo. Mbowe angekuwa anajali uwajibikaji alipaswa kijiuzulu uenyekiti na kukiri kufanya makosa kwa kupokea hao wahuni, na kuwapa nafasi adhimu huko cdm.
Mbowe alikuwa anataka kuongeza idadi ya wabunge tu bila kujali anamkubali nani kwenye chama, ndiyo maana kina Shibuda walikuja kuleta tabu sana CHADEMA.Kama Kuna kosa kubwa walifanya uongozi wa cdm ni kuwapokea wanasiasa maslahi wa ccm, the likes of Lowassa, Nyalandu, Msindai na takataka za aina hiyo. Mbowe angekuwa anajali uwajibikaji alipaswa kijiuzulu uenyekiti na kukiri kufanya makosa kwa kupokea hao wahuni, na kuwapa nafasi adhimu huko cdm.
Kwani hapa amezungumzia uginjwa wake au Nyalandu kujiunga / kupokelewa Cdm?!Kwa hili Lisu nampiga, Nyalandu alifanya kazi kubwa sn kipindi yeye akiwa mgonjwa, mchango wake ni mkubwa sn kwa CHADEMA.
kua mwanafunzi mwenye uelewa na ufahamu wa kati wa political dynamics saa zingine raha sana dah πKama Kuna kosa kubwa walifanya uongozi wa cdm ni kuwapokea wanasiasa maslahi wa ccm, the likes of Lowassa, Nyalandu, Msindai na takataka za aina hiyo. Mbowe angekuwa anajali uwajibikaji alipaswa kijiuzulu uenyekiti na kukiri kufanya makosa kwa kupokea hao wahuni, na kuwapa nafasi adhimu huko cdm.
nadhani ni muhimu sana, lakini ni busara zaidi, ikiwa Lisu amechoka au anakerwa na madhaifu, na political mistakes Chadema ambazo wengine walizopitia, walizivumilia waliziishi na wakavuka mpaka hapa walipo sasa na wameshazisahau....View attachment 3012349
Akiendeleza kile tunachoita ukosoaji wa maamuzi nyeti ya chama chake yaliyopita kwenye mikono ya mwenyekiti Mbowe.
Lissu amehoji ilikuwaje mpaka Chadema ikampokea Nyalandu.
Niwakumbushe Nyalandu ndio mbunge pekee wa CCM aliyeenda kumjulia hali Lissu akiwa hospital jijini Nairobi.
View attachment 3012350
Lisu hana urafiki. Hata kama ulienda kumjulia hali. Ukiharibu anakuchana tu. Hata kama ulimpa moyo wako autumie. Mi ndo napenda wanasiasa wa namna hii.View attachment 3012349
Akiendeleza kile tunachoita ukosoaji wa maamuzi nyeti ya chama chake yaliyopita kwenye mikono ya mwenyekiti Mbowe.
Lissu amehoji ilikuwaje mpaka Chadema ikampokea Nyalandu.
Niwakumbushe Nyalandu ndio mbunge pekee wa CCM aliyeenda kumjulia hali Lissu akiwa hospital jijini Nairobi.
View attachment 3012350
Umekumbwa na nini kiongozi?Kama Kuna kosa kubwa walifanya uongozi wa cdm ni kuwapokea wanasiasa maslahi wa ccm, the likes of Lowassa, Nyalandu, Msindai na takataka za aina hiyo. Mbowe angekuwa anajali uwajibikaji alipaswa kijiuzulu uenyekiti na kukiri kufanya makosa kwa kupokea hao wahuni, na kuwapa nafasi adhimu huko cdm.
Kwa hili Lisu nampiga, Nyalandu alifanya kazi kubwa sn kipindi yeye akiwa mgonjwa, mchango wake ni mkubwa sn kwa CHADEMA.