Pre GE2025 Lissu aishangaa CHADEMA ilimpokeaje Nyalandu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,171
Reaction score
4,295

Akiendeleza kile tunachoita ukosoaji wa maamuzi nyeti ya chama chake yaliyopita kwenye mikono ya mwenyekiti Mbowe.

Lissu amehoji ilikuwaje mpaka Chadema ikampokea Nyalandu.

LISSU-NYALANDU.jpg

Niwakumbushe Nyalandu ndio mbunge pekee wa CCM aliyeenda kumjulia hali Lissu akiwa hospital jijini Nairobi.

20240609_051739.jpg

nyalandu-lissu-mbowe.jpg
 
Mambo mengine ni kuyasoma na kuyaacha tu yalivyo yabakie historia.
Nyalandu alionekana tofauti kidogo wakati ule alipojiunga na CHADEMA, kwani yeye alitoka huko akiwa mbunge; tofauti kidogo na akina Sumaye.
Kundi zima lililofuatana na Lowassa wakati huo, matumaini yao yalikuwa ni juu ya Lowassa na siyo juu ya CHADEMA!

Hawa wote msimamo wao ulikuwa ni maslahi na siyo kitu kingine chochote.

Ile dhana maarufu ya Mbowe, kwamba watampokea yeyote anayetaka kujiunga na chama, bila shaka somo lake lilieleweka vizuri hadi sasa.
 
Kama Kuna kosa kubwa walifanya uongozi wa cdm ni kuwapokea wanasiasa maslahi wa ccm, the likes of Lowassa, Nyalandu, Msindai na takataka za aina hiyo. Mbowe angekuwa anajali uwajibikaji alipaswa kijiuzulu uenyekiti na kukiri kufanya makosa kwa kupokea hao wahuni, na kuwapa nafasi adhimu huko cdm.
 
Lissu kwa hili amekosea
 
Ndio aina ya chama unachohubiri kinaweza kufanya mabadiliko ya kimageuzi kwenye nchi yetu
 
Kama Kuna kosa kubwa walifanya uongozi wa cdm ni kuwapokea wanasiasa maslahi wa ccm, the likes of Lowassa, Nyalandu, Msindai na takataka za aina hiyo. Mbowe angekuwa anajali uwajibikaji alipaswa kijiuzulu uenyekiti na kukiri kufanya makosa kwa kupokea hao wahuni, na kuwapa nafasi adhimu huko cdm.
Akili zimeanza kuwarudi sasa.
Tulipopinga gia ya angani mlituzodoa na kututukana humu.
Ila muda huwa ni mwalimu mzuri.
Chadema ya Mbowe ni ngumu kwa mwenye akili timamu kuiamini.
Na km itaenda hivihivi hadi uchaguzi na tusipopata chama kingine mbadala, wananchi watakaojitokeza kupiga kura watakuwa wachache sana.
Ni muda wa Mbowe kuondoka au kususiwa chama chake.
 
Kama Kuna kosa kubwa walifanya uongozi wa cdm ni kuwapokea wanasiasa maslahi wa ccm, the likes of Lowassa, Nyalandu, Msindai na takataka za aina hiyo. Mbowe angekuwa anajali uwajibikaji alipaswa kijiuzulu uenyekiti na kukiri kufanya makosa kwa kupokea hao wahuni, na kuwapa nafasi adhimu huko cdm.
Mbowe alikuwa anataka kuongeza idadi ya wabunge tu bila kujali anamkubali nani kwenye chama, ndiyo maana kina Shibuda walikuja kuleta tabu sana CHADEMA.
 
Kama Kuna kosa kubwa walifanya uongozi wa cdm ni kuwapokea wanasiasa maslahi wa ccm, the likes of Lowassa, Nyalandu, Msindai na takataka za aina hiyo. Mbowe angekuwa anajali uwajibikaji alipaswa kijiuzulu uenyekiti na kukiri kufanya makosa kwa kupokea hao wahuni, na kuwapa nafasi adhimu huko cdm.
kua mwanafunzi mwenye uelewa na ufahamu wa kati wa political dynamics saa zingine raha sana dah 🐒
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
View attachment 3012349

Akiendeleza kile tunachoita ukosoaji wa maamuzi nyeti ya chama chake yaliyopita kwenye mikono ya mwenyekiti Mbowe.
Lissu amehoji ilikuwaje mpaka Chadema ikampokea Nyalandu.

Niwakumbushe Nyalandu ndio mbunge pekee wa CCM aliyeenda kumjulia hali Lissu akiwa hospital jijini Nairobi.

View attachment 3012350
nadhani ni muhimu sana, lakini ni busara zaidi, ikiwa Lisu amechoka au anakerwa na madhaifu, na political mistakes Chadema ambazo wengine walizopitia, walizivumilia waliziishi na wakavuka mpaka hapa walipo sasa na wameshazisahau....

aamue tu kuchukua mrengo mahali pengine kuliko kuwachanganya tu wenzie na kuchochea migawanyiko na mitazamo tofauti ndani ya chama chake, huku akidhani kwamba ati huo ndio ujasiri 🐒
 
View attachment 3012349

Akiendeleza kile tunachoita ukosoaji wa maamuzi nyeti ya chama chake yaliyopita kwenye mikono ya mwenyekiti Mbowe.
Lissu amehoji ilikuwaje mpaka Chadema ikampokea Nyalandu.

Niwakumbushe Nyalandu ndio mbunge pekee wa CCM aliyeenda kumjulia hali Lissu akiwa hospital jijini Nairobi.

View attachment 3012350
Lisu hana urafiki. Hata kama ulienda kumjulia hali. Ukiharibu anakuchana tu. Hata kama ulimpa moyo wako autumie. Mi ndo napenda wanasiasa wa namna hii.
 
Kama Kuna kosa kubwa walifanya uongozi wa cdm ni kuwapokea wanasiasa maslahi wa ccm, the likes of Lowassa, Nyalandu, Msindai na takataka za aina hiyo. Mbowe angekuwa anajali uwajibikaji alipaswa kijiuzulu uenyekiti na kukiri kufanya makosa kwa kupokea hao wahuni, na kuwapa nafasi adhimu huko cdm.
Umekumbwa na nini kiongozi?
Hiki ulicho andika hapa nilikuwa naandika humu JF na kuwalaumu viongozi wa CHADEMA a countless times.
Na ndiyo sababu ya Mimi na wengine kuacha kushabikia au kuwa wanachama wa CHADEMA tangu kosa hili 2015.
Wewe ulikuwa mtetezi unasema siyo kosa. Tumebishana Sana hapa, comments zetu zipo Kama ushahidi.

Muda ni mwalimu mzuri Sana, unfortunately inakuwa too late, a window of opportunity has slipped or passed away with a sliding frame of time. Ule mwaka angepewa ugombea hata kijana mdogo mradi angetokea CHADEMA mle mle au yeyote toka chama chochote siyo waliotuhumiwa ufisadi mkubwa siasa za Tanzania zingechukua sura mpya na raisi toka chama kipya CHADEMA.
 
Back
Top Bottom