PreGE2025 Lissu akabidhiwa Mkuki na Wananchi wa Kilando tayari kwa mapambano ya kuzuia Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu amekabidhiwa rasmi mkuki kama ishara ya ujasiri kuelekea katika mapambano yake yakuzuia uchaguzi.

amguse Sugu au Aida kenan tuone?

huende huo ni mkuki Koko 🐒
Ni Jasiri na ni Shujaa Tundu Lissu✌️
sure,
jamaa ni jasiri sana kuropoka na ndio maana anambea mikoani mfukoni akiwa na tiketi ya ndege dah,

ni jasiri sana kujificha kwenye balozi akitishwa kidogo tu 🐒
 
amguse Sugu au Aida kenan tuone?

huende huo ni mkuki Koko 🐒

sure,
jamaa ni jasiri sana kuropoka na ndio maana anambea mikoani mfukoni akiwa na tiketi ya ndege dah,

ni jasiri sana kujificha kwenye balozi akitishwa kidogo tu 🐒
Propaganda za Makalla hizo.
 
amguse Sugu au Aida kenan tuone?

huende huo ni mkuki Koko 🐒

sure,
jamaa ni jasiri sana kuropoka na ndio maana anambea mikoani mfukoni akiwa na tiketi ya ndege dah,

ni jasiri sana kujificha kwenye balozi akitishwa kidogo tu 🐒
Hizi nazo eti unaziita point...kilaza ww.
 
Mbona una kihere here sana na chadema we chawa,komaa na waizi wenzio fisiem huko.
 
Hizi nazo eti unaziita point...kilaza ww.
sugu na kenan wameapa kutobebwa ufala na huyo kibaka wa siasa, ambae eti kwa vile yeye hana pesa za kampeni na anajua kabisa hawezi kushinda urais uchaguzi mkuu,

anataka na wengine pia wawe kama yeye,
akadhani na wagombea ubunge na udiwani wa chadema nao hawana pesa za kampeni :pedroP:
 
Wewe ni punguani bwege.

Sugu yupo bega kwa bega na Lisu.Na ziara nzima hii, wapo wote, ila wewe hayawani unaropoka upuuzi.

Uliyasikia maneno ya Sugu pale Mbeya?
 
Back
Top Bottom