Citizen_37
JF-Expert Member
- Jun 29, 2023
- 1,013
- 1,210
Kumekucha kumekuchaaaaaaaa!!Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu amekabidhiwa rasmi mkuki kama ishara ya ujasiri kuelekea katika mapambano yake yakuzuia uchaguzi.
Kumekucha kumekuchaaaaaaaa!!Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu amekabidhiwa rasmi mkuki kama ishara ya ujasiri kuelekea katika mapambano yake yakuzuia uchaguzi.
amguse nao Sugu au Aida kenan tuone?
huende huo ni mkuki Koko 🐒
ujeuri wa nyumbu ni nchi kavu tu lakini kwenye maji kiboko yao mamba.View attachment 3282909
Bila ya hawa mbwa hamna uwezo wowote. Mmeshaajiri wengine kwa ajili ya kuwasaidia kubaki madarakani?

Nakwambia hivi bila ya hawo mbwa hamna mnaloweza kushindana na upinzani hasa chadema. Kama hivi mtumishe ndio hoja yenu ya kushindana.ujeuri wa nyumbu ni nchi kavu tu lakini kwenye maji kiboko yao mamba.
hao wangwana ni kwa madhumuni ya kuwadhibiti na kuyasambaratisha magenge ya kihalifu pekee![]()
wewe pamoja na wenzia mnaweza kupotosha wadau kivyovyote muwezavyo,Nakwambia hivi bila ya hawo mbwa hamna mnaloweza kushindana na upinzani hasa chadema. Kama hivi mtumishe ndio hoja yenu ya kushindana.View attachment 3283003

Magenge ya kihalifu huko ccm yamethibitisha mara ngapi?wewe pamoja na wenzia mnaweza kupotosha wadau kivyovyote muwezavyo,
but magenge ya kihalifu kote nchini, yatadhibitiwa na kusambaratishwa popote nchini, bila kuyachelewesha hata sekunde moja kabala hayajaleta madhara kwa wananchi.
na kuelekea uchaguzi wa amani oktoba baadae mwaka huu, hakuna mvuja amani ataruhusiwa kumgusa mpiga kura yeyote kote nchini.
Na hili muende mkamueleze na mwenyekiti wa chama chenu, sawa?![]()