Lissu akiondoka Chadema, hakuna Mwana-Chadema ataondoka kwenye chama kumfuata Lissu

Kuna mashabiki na wanachama wamekuwa wakitishia kwamba endapo Lissu hatokuwa mwenyekiti wa Chadema basi wataondoka nae kwenye chama.
Wanapiga mikwala hiyo ili kushinikiza Mbowe amuachie kiti Lissu au wajumbe waingie hofu kwamba kumchagua jemedari wao the one and only Mbowe itasababisha chama kupasuka na kufa.

Ni hivi hakuna mtu yoyote wa Chadema anaweza kuondoka sababu ya Lissu. Lissu zaidi ya kuropoka hana ushawishi wowote wa maana na kwa taarifa tu wanachadema wanakipenda mno chama chao zaidi ya Lissu. Wapo tayari kurekebisha kasoro zinazowakwaza wakiwa ndani chadema ila sio kutoka.

Kwanza wakitoka wanaenda wapi? ACT ? NCCR? CUF? Hawana pakwenda. Kupata chama ghafla ghafla wakiamini na kukipenda kama chama chao chadema sio kazi rahisi. Kwa hiyo wapo sana na wanajiandaa kuongozwa na Mbowe iwe wanataka au hawataki.

Tuendeleee kusubiri kishindo cha Mbowe, bado ananoa bisu lake.

Heri ya mwaka mpya!
Acha uchawa ww ccm
 
Chadema Mtemi Mbowe akiendelea kung'ang'ania uenyekiti hawawezi kupata hata kiti kimoja cha udiwani tena kwa haki kabisa. Wanachadema mpeni Kura TAL. Mtemi Mbowe abakie kama mshauri tu wa chama. Kama anaona kutawala kitemi basi ashinde huo uchaguzi
 
Kuna mashabiki na wanachama wamekuwa wakitishia kwamba endapo Lissu hatokuwa mwenyekiti wa Chadema basi wataondoka nae kwenye chama.
Wanapiga mikwala hiyo ili kushinikiza Mbowe amuachie kiti Lissu au wajumbe waingie hofu kwamba kumchagua jemedari wao the one and only Mbowe itasababisha chama kupasuka na kufa.

Ni hivi hakuna mtu yoyote wa Chadema anaweza kuondoka sababu ya Lissu. Lissu zaidi ya kuropoka hana ushawishi wowote wa maana na kwa taarifa tu wanachadema wanakipenda mno chama chao zaidi ya Lissu. Wapo tayari kurekebisha kasoro zinazowakwaza wakiwa ndani chadema ila sio kutoka.

Kwanza wakitoka wanaenda wapi? ACT ? NCCR? CUF? Hawana pakwenda. Kupata chama ghafla ghafla wakiamini na kukipenda kama chama chao chadema sio kazi rahisi. Kwa hiyo wapo sana na wanajiandaa kuongozwa na Mbowe iwe wanataka au hawataki.

Tuendeleee kusubiri kishindo cha Mbowe, bado ananoa bisu lake.

Heri ya mwaka mpya!
Lakini huyu baba? Janaume zima lakini lina mdomo hilo?! Lishasahau fadhila zote linawaza madaraka tu, aondoke na jamaa zake , Lema, Heche, Mdude na wengine waone kama CHADEMA itayumba?
 
Ngoja nikuambie wewe mke wa diamond....achilia mbali Lissu kuondoka..so far kwa haya yanayoendelea hiki chama cha wachaga salama yao ni Lissu kuwa mwenyekiti..kinyume chake Freeman hapati hata diwani mmoja..hiyo ni bila hata figisu..
Labda Samia amzawadie....
Chadema chini ya Mbowe itaendelea kuwa tishio sana. Mbowe ni mtaalam wa siasa za Tanzania huyo lissu mtamsahau
 
Chadema haitakufa kama TLP, Itaendelea kubaki ila kwa umma itakuwa imepotea
Acha kudanganywa na mitandao Mbowe anajua anachokifanya na anajua amuendi popote kwanza Lissu akishabatizwa kwa moto mmoja mmoja ataanza kumkataa mtarudi kwa Mbowe
 
Kuna mashabiki na wanachama wamekuwa wakitishia kwamba endapo Lissu hatokuwa mwenyekiti wa Chadema basi wataondoka nae kwenye chama.
Wanapiga mikwala hiyo ili kushinikiza Mbowe amuachie kiti Lissu au wajumbe waingie hofu kwamba kumchagua jemedari wao the one and only Mbowe itasababisha chama kupasuka na kufa.

Ni hivi hakuna mtu yoyote wa Chadema anaweza kuondoka sababu ya Lissu. Lissu zaidi ya kuropoka hana ushawishi wowote wa maana na kwa taarifa tu wanachadema wanakipenda mno chama chao zaidi ya Lissu. Wapo tayari kurekebisha kasoro zinazowakwaza wakiwa ndani chadema ila sio kutoka.

Kwanza wakitoka wanaenda wapi? ACT ? NCCR? CUF? Hawana pakwenda. Kupata chama ghafla ghafla wakiamini na kukipenda kama chama chao chadema sio kazi rahisi. Kwa hiyo wapo sana na wanajiandaa kuongozwa na Mbowe iwe wanataka au hawataki.

Tuendeleee kusubiri kishindo cha Mbowe, bado ananoa bisu lake.

Heri ya mwaka mpya!
TL akiondoka na Saccos inajifiaaa
 
Siku hadi siku nazidi kuamini CHADEMA imejaa wapumbavu wengi, Kama wewe ni aina ya Wanachama basi kazi ipo.
Twaweza walitoa ripoti Yao kuwa chama Cheney watu masikini, wajinga,ombaomba ni ccm
 
Kuna mashabiki na wanachama wamekuwa wakitishia kwamba endapo Lissu hatokuwa mwenyekiti wa Chadema basi wataondoka nae kwenye chama.

Wanapiga mikwala hiyo ili kushinikiza Mbowe amuachie kiti Lissu au wajumbe waingie hofu kwamba kumchagua jemedari wao the one and only Mbowe itasababisha chama kupasuka na kufa.

Ni hivi hakuna mtu yoyote wa Chadema anaweza kuondoka sababu ya Lissu. Lissu zaidi ya kuropoka hana ushawishi wowote wa maana na kwa taarifa tu wanachadema wanakipenda mno chama chao zaidi ya Lissu. Wapo tayari kurekebisha kasoro zinazowakwaza wakiwa ndani chadema ila sio kutoka.

Kwanza wakitoka wanaenda wapi? ACT? NCCR? CUF? Hawana pakwenda. Kupata chama ghafla ghafla wakiamini na kukipenda kama chama chao chadema sio kazi rahisi. Kwa hiyo wapo sana na wanajiandaa kuongozwa na Mbowe iwe wanataka au hawataki.

Tuendeleee kusubiri kishindo cha Mbowe, bado ananoa bisu lake.

Heri ya mwaka mpya!
 
Akili mtindi.....yeye nani ? Wanufaika na makombo ya mezani kwa kengezaa
Babako mbona ana makengeza?

Kwa hiyo siyo binadamu? Au ilikuwa Bahati mbaya kuzaliwa naye?

Ebu jifunze kuheshimu kazi ya Mungu wewe Kula Kula tena Kwa shemeji yako
 
Kuna mashabiki na wanachama wamekuwa wakitishia kwamba endapo Lissu hatokuwa mwenyekiti wa Chadema basi wataondoka nae kwenye chama.

Wanapiga mikwala hiyo ili kushinikiza Mbowe amuachie kiti Lissu au wajumbe waingie hofu kwamba kumchagua jemedari wao the one and only Mbowe itasababisha chama kupasuka na kufa.

Ni hivi hakuna mtu yoyote wa Chadema anaweza kuondoka sababu ya Lissu. Lissu zaidi ya kuropoka hana ushawishi wowote wa maana na kwa taarifa tu wanachadema wanakipenda mno chama chao zaidi ya Lissu. Wapo tayari kurekebisha kasoro zinazowakwaza wakiwa ndani chadema ila sio kutoka.

Kwanza wakitoka wanaenda wapi? ACT? NCCR? CUF? Hawana pakwenda. Kupata chama ghafla ghafla wakiamini na kukipenda kama chama chao chadema sio kazi rahisi. Kwa hiyo wapo sana na wanajiandaa kuongozwa na Mbowe iwe wanataka au hawataki.

Tuendeleee kusubiri kishindo cha Mbowe, bado ananoa bisu lake.

Heri ya mwaka mpya!
Hapa tu tupo 3009, tunasubiri.
Siasa,kuna kumfuata mtu na kuna chama. Mtu huwa na vuto zaida ya chama
 
Kuna mashabiki na wanachama wamekuwa wakitishia kwamba endapo Lissu hatokuwa mwenyekiti wa Chadema basi wataondoka nae kwenye chama.

Wanapiga mikwala hiyo ili kushinikiza Mbowe amuachie kiti Lissu au wajumbe waingie hofu kwamba kumchagua jemedari wao the one and only Mbowe itasababisha chama kupasuka na kufa.

Ni hivi hakuna mtu yoyote wa Chadema anaweza kuondoka sababu ya Lissu. Lissu zaidi ya kuropoka hana ushawishi wowote wa maana na kwa taarifa tu wanachadema wanakipenda mno chama chao zaidi ya Lissu. Wapo tayari kurekebisha kasoro zinazowakwaza wakiwa ndani chadema ila sio kutoka.

Kwanza wakitoka wanaenda wapi? ACT? NCCR? CUF? Hawana pakwenda. Kupata chama ghafla ghafla wakiamini na kukipenda kama chama chao chadema sio kazi rahisi. Kwa hiyo wapo sana na wanajiandaa kuongozwa na Mbowe iwe wanataka au hawataki.

Tuendeleee kusubiri kishindo cha Mbowe, bado ananoa bisu lake.

Heri ya mwaka mpya!
Labda Mke wake na Watoto wake ambao ni Raia wa USA 🇺🇸
 
Na huyu nae utakuta ndio mchambuzi na anaoneka think tank kwenye political desk pale Lumumba.
 
Back
Top Bottom