Lissu akishinda tunatarajia CCM italazimika kuibua akiba yake ya makada wenye akili. Machawa nafasi yao inaweza kuwa hatarini

Hata tukiwek andaz tutashnda
 
Ni kweli CCM ni chama kinachobadilika kulingana na wakati...hapo kwenye machawa umeongea ukweli japo sio vizuri kuzungumzia ulaji wa mwingine lakini ukweli ndo huo.
 
Ccm hali mbaya ,wametengeneza machawa badala ya watu wenye uwezo binafsi,

Kumbuka lema anaweza kuwa katibu mkuu wa chama, sasa hii team ccm wanapenya wapi?

Nilisema chadema ina watu ambao wakikaa pale juu ccm watamkumbuka Mbowe ,sasa kimeisha umana , sio mda ccm wataanza ongea peke yao barabarani
 
hilo unajidanganya saana fatilia CCM ya enzi hzo na upinzani wa enzi hzo utagundua kwamba CCM ni chama chenye mbinu nyingi mno na uwezo wa kifedha upo kwahyo kuivunja hyo ngome sio mchezo hata uwaweke watu gani hapo juu hawawezi kuivunja CCM..Kwani chama hiki kimeshajiimarisha toka enzi na enzi kinachofanyika sahv ni kuangalia nani anaushawishi mkubwa kwa wananchi tumlete kwetu.
 
Kwani huyu kibaraka Lisu mnamsajiki kutoka Sayari ya Jupiter kiasi kwamba mtarajie hewa wakati alikuwepo?

Kwamba uwenyekiti wa Lisu ndio utaongeza nini labda?

Mwisho,amekuwa Mbunge,amegombea Urais,amekuwa Rais wa TLS na Makamu wa Mbowe,Kuna jipya aliongeza hapo kwenye chama Cha waganga njaa?

Naona mna hemka kweli kweli mwisho wa siku akitishwa atasepa Ubelgiji Kwa bwanake Amsterdam 🀣 🀣

Mwisho what kind of Mabadiliko are you talking about ambayo nyie mnayataka au kuyapenda?
 

Subiri utajionea
 

CCM hawawezi kubali hili litokee. Ngoja tuone
 
Bandiko mujarab kabisa tangu tuuanze mwaka 2025 !

Ngoja Tusubiri tuone !
Huenda nasi tukaibuliwa upya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Natania tu πŸ˜…πŸ™
 
Subiri utajionea
Ona hunaga majibu πŸ˜‚πŸ˜‚

Mumeukizwa kule kazi halali ya kibaraka Lisu inayomuingizia kipato ni ipi mkaishia kutukana na kutoa povu πŸ˜†πŸ˜†

Nikiwauliza sera zenu za Uchumi ni zipi ? Mtaishia kutukana .

Nimekuwa nauliza Katiba Mpya Ina Msaada gani Kwa common mwananchi hakuna majibu

Nikauliza mbona Nchi Zenye Katiba Mpya Haki ni mbaya vile vile ,nini maana ya Katiba Mpya tofauti na kuingia Wanasiasa wengine kwenye ulaji hakuna majibu.

Mfano Hawa hapa Wana Katiba Mpya,haya utekaji umekoma? πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://x.com/Kenyans/status/1879430838510866653?t=ZOip1x0WrCkWqzHwqohGzw&s=19
View: https://x.com/Kenyans/status/1879428166047154306?t=GUTM7RaKXFJSuWOAv-6fNQ&s=19
 
Upepo unatazamwa kwa kina pande mbili hizo za vyama. Acha tuendlee na zoezi.
 
Sawa sawa Mr. Mcha-mbuzi . 🐐 🐐
relax na ufuatilie mambo kwa utulivu na ukaribu zaidi, itakusaiadia sana kuongeza uelewa na ufahamu wa mambo haya ya siasa gentleman πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…