Uchaguzi 2020 Lissu akishinda uchaguzi sijui itakuwaje!

Nawaza kwa mfano Lissu akishinda 2020 sijui watu wengine wataweka wapi sura zao.

Hawa wasanii wetu ambao kila kukicha wana nyimbo za kumsifu na kusherekea uongozi wake sijui na wao wataweka wapi sura.

Na wananchi wenye mawazo negative kuwa CCM haiwezi toka madarakani sijui na wao watasemaje.
Hao watu ni wanafiki na magwiji wa kujipendekeza kwa watu wenye madaraka.

Wala hawatachelewa, utaona wanahamia upande wa pili kwa nguvu zote
 
Nawaza kwa mfano Lissu akishinda 2020 sijui watu wengine wataweka wapi sura zao.

Hawa wasanii wetu ambao kila kukicha wana nyimbo za kumsifu na kusherekea uongozi wake sijui na wao wataweka wapi sura.

Na wananchi wenye mawazo negative kuwa CCM haiwezi toka madarakani sijui na wao watasemaje.
Mbona waliokuwa hawataki Magufuli awe rais wapo mpaka leo, mwingine ndo huyo kaenda ACT !!
Lakini ndoto ya Lissu kuwa rais hiyo ni ndoto mbaya sana.
Hatakuwa na hawezi kuwa hata waziri mkuu kwenye hii nchi mpaka kufa kwake.
Amini nakwambia kuna watu wameumbwa kwa ajili ya kupiga kelele tu na ndo huyu bwana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kesho utawaona wanamsifia Lissu, subiri na huyu mungu mtu amalize utumishi wake uone kama kuna mtu atamkumbuka
Nitamkumbuka vizuri sana,kama mpiga mashangazi,mkabila,dikteta,mjenzi wa uwanja wa ndege kwao ni.

Halafu huyu jamaa noma kweli kweli,alidiriki hata kuwabebesha wanajeshi wetu mizigo ya korosho???
 
Hawa wasanii sio wa kuwalaumu kwanza angalia na elimu zao pili angalia na hali ya kisiasa. Alyekuwa anaimba nyimbo za kukosoa wakimfanya nini..jibu kila mmoja anajua.

Siku lissu akiingia madarakani hawa wanamziki watakuja na testimonies kibao kuwa walifanya ivyo kulinda maslai yao.
 
Nawaza kwa mfano Lissu akishinda 2020 sijui watu wengine wataweka wapi sura zao.

Hawa wasanii wetu ambao kila kukicha wana nyimbo za kumsifu na kusherekea uongozi wake sijui na wao wataweka wapi sura.

Na wananchi wenye mawazo negative kuwa CCM haiwezi toka madarakani sijui na wao watasemaje.
Labda ashinde na njaa
 
Du! Ukiachilia mbali upuuzi mwingine, kwa wale wapenda michezo tutafarijika mno kuuon viwanja vyetu vya michezo vilivyojengwa sehemu mbalimbali hapa nchini, tena kwa kupitia nguvu za wananchi vikirudishwa mikononi mwa serikali ama halmashauri husika.

Jamaa walikwiba sana na kujimilikisha kila kitu wao wenyewe tu. Walafi wakubwa [emoji51][emoji51][emoji51][emoji30][emoji30][emoji30]
 
Mbona waliokuwa hawataki Magufuli awe rais wapo mpaka leo, mwingine ndo huyo kaenda ACT !!
Lakini ndoto ya Lissu kuwa rais hiyo ni ndoto mbaya sana.
Hatakuwa na hawezi kuwa hata waziri mkuu kwenye hii nchi mpaka kufa kwake.
Amini nakwambia kuna watu wameumbwa kwa ajili ya kupiga kelele tu na ndo huyu bwana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Amini nakuaminia, Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020 - 2025 ni Tundu Antipas Lissu.
Na kwa kukuhakikishia, Magufuli anaenda kukanwa na wenye CCM yao mwaka huu.
 
Muda ni mfupi sana tuombe uzima tukutane tena hapa mwisho wa mwezi wa kumi.
Safari hii mjaribu ku upgrade neno tumeibiwa kura.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lissu hawezi kishinda uchaguzi!..Kura zake hazitazidi hata 10% ya wapiga kura! .Tuache kuota ndoto na kujipa matumaini hewa.Yaan hata wapinzani waungane wote hawawezi battle na JPM halipingiki Hilo, yule ni kisiki cha mpingo hawamuwezi!. Hii ni kwa sababu alioyoyafanya yanaonekana kwa macho, mpaka sasa sijaona hoja yoyoye ya maana aliotoa lissu zaidi ya kua attack mtu tu !.
Jidanganye endelea kuota
 
Nakushauri nyie ndo mjifunze kuanza kutumia huo msemo mwaka huu maana mbele ya nguvu ya umma magufuli hatoshinda kamwe!
Sasa huo umma uko wapi ambao unaweza kumkataa Magufuli leo ?
Wakati mwingine tuache ushabiki maandazi. Yaani kweli ndani kabisa ya nafsi yako unaona uwezekano wa CCM kutoka kwenye hatamu ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa huo umma uko wapi ambao unaweza kumkataa Magufuli leo ?
Wakati mwingine tuache ushabiki maandazi. Yaani kweli ndani kabisa ya nafsi yako unaona uwezekano wa CCM kutoka kwenye hatamu ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushawai kuona wapi wananchi wanafurahia tetesi za Raisi wao kufariki??? Alafu leo unauliza huo umma utatoka wapi???

Na bado , mwaka huu ndo mtaona picha halisi za watanzania. Ndo mtaona matunda hasa ya kupiga watu risasi na kuwabambikia makesi, ndo mtaona matunda ya kuharibu uchumi na kutengeneza majobless wengi!!
 
Yaani unakuja na takwimu za tweeter na Jf halafu useme Watanzania ndo hao !!
Jipangeni bado kuna shida sehemu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani unakuja na takwimu za tweeter na Jf halafu useme Watanzania ndo hao !!
Jipangeni bado kuna shida sehemu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani waliofurahia tweeter sio watanzania???? Kuna shida kwenu sio kwa wapinzani, kwani wapinzani ndo waliwaambia muwapige risasi na kuwabambikia makesi????
Ni vizuri muda huu CCM mkautumia kuwaza mnaendaje kuwa Chama cha upinzani makini kuanzia 2020 - 2025??
 
Hao waliopigwa risasi na kubambikiwa kesi wapo kwenu tu ?
Mbona sisi huku hatujawahi pigwa hata virungu ?
Nasema bado mna tatizo sehemu tena sio dogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao waliopigwa risasi na kubambikiwa kesi wapo kwenu tu ?
Mbona sisi huku hatujawahi pigwa hata virungu ?
Nasema bado mna tatizo sehemu tena sio dogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na kwa ubaguzi na ushalimu wenu huo ndo maana mwaka huu historia inaenda kuandikwa kwa nyie CCM kuwa wapinzani rasmi kuanzia October 2020!
 
Back
Top Bottom