Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Hao watu ni wanafiki na magwiji wa kujipendekeza kwa watu wenye madaraka.Nawaza kwa mfano Lissu akishinda 2020 sijui watu wengine wataweka wapi sura zao.
Hawa wasanii wetu ambao kila kukicha wana nyimbo za kumsifu na kusherekea uongozi wake sijui na wao wataweka wapi sura.
Na wananchi wenye mawazo negative kuwa CCM haiwezi toka madarakani sijui na wao watasemaje.
Wala hawatachelewa, utaona wanahamia upande wa pili kwa nguvu zote