Uchaguzi 2020 Lissu akishinda urais, nchi italipuka kwa shangwe isiyo ya kawaida

Mdaiwa-Sugu

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
284
Reaction score
912
Mapokezi anayopata Tundu lissu kila mahali anakopita ni ishara ya watu kuchoka na watu wamechoka kweli kweli wala siyo utani.

√ Vijana wanalia na ukosefu wa ajira
√ Watumishi wanalia na nyongeza ya mishahara
√ Wastaafu wanalia na malipo yao ya uzeeni
√ Wajasiriamali wadogo wanalia na vitambulisho vya machinga
√ Wananchi wanalia ugumu wa maisha kutokana na mzunguko mdogo wa pesa mtaani
√ CCM tunalia ila tumeamua kuwa wanafiki tusifukuzwe uanachama.

Ni vilio kila mahali. Umefika wakati uvumilivu umekosekana; watu wameamua kuonyesha hisia zao kwa Lissu wakiamini ndiye mkombozi wao na hiyo ndio siri ya kupokelewa na kulakiwa kwa maelfu kila mahali.

Kwakuwa ni karibu kila mtu ameguswa na utawala huu; ikitokea H.E Magufuli ameanguka Urais. Siku hiyo kutazuka sherehe baab kubwa na ndio utakuwa mwanzo wa kuwajua wanafiki wake wa karibu waliokuwa wanamshauri vibaya.

Huenda andiko hili likatimia kwa sababu apangalo Mungu mwanadamu hawezi kupangua.
 
Jiwe kashafanya mikakati Jana na leo, ndio maana akasogeza mbele Kampeni za Iringa.

Kikao cha Jiwe na MaDed kimefanyika Dodoma Jana na Leo.

Wataiba kura na kuvuruga uchaguzi
 
 
Atashinda na watu wa Buza wataripuka kwa furaha kwa buza kupata Rais.
 
WEWE SEMA MABEBERU WAKISHINDA UCHAGUZI WATASHANGILIA SAANA KWA KUWA WATAJIPIMIA RASILIMALIZOTE ZA TAIFA. LISU HAWEZI SHINDA ATAKIDO. SISI CHAMA DOLA TUNAJUA MPINZANI WETU NI NANI, WALA SIO LISU ATA KIDOGO. ILA HIYO OCTOBER, MABEBERU TUTAWAGALAGAZA ASUBUHI SAANAA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…