mzamifu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2010
- 6,400
- 3,853
We angalia idadi wanaounga mkono hoja, angalia mapokezi yake halafu uje tenaYani Lisu ashinde urais?
Wa wasafi ama?
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We angalia idadi wanaounga mkono hoja, angalia mapokezi yake halafu uje tenaYani Lisu ashinde urais?
Wa wasafi ama?
Anayemaliza muda wake October 28 na kustaafu rasmiMagufuli ndiyo Rais wa Tanzania jiandae tu
Wapinzani wa Tanzania ni sawa ni na viungo wachezeshaji ila wafungaji wanajulikana ni ccm na Magufuli waoMpaka 2025 ni Mkazi na mwenyeji wa chato. Mwaka huu hapo October watanzania tunamstaafisha rasmi
Hayo umesema wewe. Ukweli ni kuwa Raisi wa Jamhuri ya muungano Tanzania 2020-2025 ni Tundu Antiphas Lissu. Amini au usiamini , kataa au kubaliWapinzani wa Tanzania ni sawa ni na viungo wachezeshaji ila wafungaji wanajulikana ni ccm na Magufuli wao
Unawajua watu wa kanda ya ziwa wewe muulize agustine Mrema mwaka 1995 natumaini hata shule ulikuwa bado hujaanza atakwambia kanda ya ziwa pakojeWe angalia idadi wanaounga mkono hoja, angalia mapokezi yake halafu uje tena
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Tutakuaminije Sasa mkuu hao wanaohudhuria mikutano umejuaje kama hua hawapigi kura na wasio hudhuria umejuaje kama ndo wanaopiga haya mimi sihudhurii fiesta za sisem na kura sipigiHumu Jamiii Forum kuna watu Wanawaza Watu Wanaojaa Mikutanoni Ndio wapiga Kura Naomba niwaambie Wapiga Kura Wa Nchii wengi in watu wasiohudhuria Mikutano ingekuwa ivyo Lowassa na Dr Slaa wangeshachukua hii nchi kitambo.KWA HIYO MSIDANGANYIKE KWA IDADI YA MASHABIKI MTAJIUMIZA MIOYO MIMI NAMPIGIA KURA YANGU MAGUFULI KWA MARA YA KWANZA KWA SABABU KANISHAWISHI KWA UTENDAJI WAKE NA MWELEKEO ANAPOIPELEKA TANZANIA. ALIKUJA MWANZA NA SIKWENDA UWANJANI SO NILISHAAMUA HATA KABLA YA KUJUA NI LISSU AU MEMBE ATAKAE KUWA MPINZANI WA MAGU
Jipe moyoHayo umesema wewe. Ukweli ni kuwa Raisi wa Jamhuri ya muungano Tanzania 2020-2025 ni Tundu Antiphas Lissu. Amini au usiamini , kataa au kubali
Sijapanda daraja mwaka wa 7 bora lisu ashinde wenda mambo yakanogaMapokezi anayopata Tundu lissu kila mahali anakopita ni ishara ya watu kuchoka na watu wamechoka kweli kweli wala siyo utani.
√Vijana wanalia na ukosefu wa ajira
√watumishi wanalia na nyongeza ya mishahara
√wastaafu wanalia na malipo yao ya uzeeni
√wajasiriamali wadogo wanalia na vitambulisho vya machinga
√wananchi wanalia ugumu wa maisha kutokana na mzunguko mdogo wa pesa mtaani
√ccm tunalia ila tumeamua kuwa wanafiki tusifukuzwe uanachama.
Ni vilio kila mahali. umefika wakati uvumilivu umekosekana; watu wameamua kuonyesha hisia zao kwa Lissu wakiamini ndiye mkombozi wao na hiyo ndio siri ya kupokelewa na kulakiwa kwa maelfu kila mahali.
Kwakuwa ni karibu kila mtu ameguswa na utawala huu; ikitokea H.E Magufuli ameanguka Urais. Siku hiyo kutazuka sherehe baab kubwa na ndio utakuwa mwanzo wa kuwajua wanafiki wake wa karibu waliokuwa wanamshauri vibaya.
Huenda andiko hili likatimia kwa sababu apangalo Mungu mwanadamu hawezi kupangua.
Tatizo la wapinzani wa Tanzania ni mihemkoTutakuaminije Sasa mkuu hao wanaohudhuria mikutano umejuaje kama hua hawapigi kura na wasio hudhuria umejuaje kama ndo wanaopiga haya mimi sihudhurii fiesta za sisem na kura sipigi
Yani unaongea utumbo mtupu
Siku ya kufa nyani miti yote huteleza, wahenga (1947).Jiwe kashafanya mikakati Jana na leo, ndio maana akasogeza mbele Kampeni za Iringa.
Kikao cha Jiwe na MaDed kimefanyika Dodoma Jana na Leo.
Wataiba kura na kuvuruga uchaguzi
Lete hizo Picha za mrema akiwa kanda ya ziwa!! Mnajaribu kutunga uongo kupunguza impact ya kimbunga cha Lissu ila wapiiiii!!! Mtumishi wa Mungu Mwingira keshaawaambia mnashindana na mshindiiiiiUnawajua watu wa kanda ya ziwa wewe muulize agustine Mrema mwaka 1995 natumaini hata shule ulikuwa bado hujaanza atakwambia kanda ya ziwa pakoje
Tukutane 28 OctoberJipe moyo
Jidanganye Magufuli mpaka 2025Waovu wakitawala nchi huugua.. Lkn wenye haki wakitawala nchi huinuka.....
Magufuli akitangazwa itakua msiba mkubwa sn kwa taifa kuliko hata kifo cha baba wa taifa
Mwambie asome Biblia yake vizuri. Hata Mfalme Sauli hakuacha kupambana na Mfalme Daudi pamoja na kujua Mungu kamteua Daudi kuwa Mfalme. Magufuli ata pambana sana na Lissu Ila hatomweza kamweeee!!Siku ya kufa nyani miti yote huteleza, wahenga (1947).
Unakariri tuu, mbona mikutano ya Mbatia au Lipumba hawajai? Je umefanya utafiti wowote kubaini kwamba wahudhuriaji wa mikutano si wapiga kura? Membe aliwahi sikika akimpa pole Maalim kule visiwani kwamba karibia miaka yote amekuwa alipigwa bao....Humu Jamiii Forum kuna watu Wanawaza Watu Wanaojaa Mikutanoni Ndio wapiga Kura Naomba niwaambie Wapiga Kura Wa Nchii wengi in watu wasiohudhuria Mikutano ingekuwa ivyo Lowassa na Dr Slaa wangeshachukua hii nchi kitambo.KWA HIYO MSIDANGANYIKE KWA IDADI YA MASHABIKI MTAJIUMIZA MIOYO MIMI NAMPIGIA KURA YANGU MAGUFULI KWA MARA YA KWANZA KWA SABABU KANISHAWISHI KWA UTENDAJI WAKE NA MWELEKEO ANAPOIPELEKA TANZANIA. ALIKUJA MWANZA NA SIKWENDA UWANJANI SO NILISHAAMUA HATA KABLA YA KUJUA NI LISSU AU MEMBE ATAKAE KUWA MPINZANI WA MAGU
Kama ni Idadi ya Watu Mzee Hakauna MTU Anaengoza Kwa Kujaza watu Kama Magufuli kwenye Hizi Kampeni Hayupo. Je kama ni idadi Tu ndio mnaangalia Ndugu zetu Basis Mkubali Magufuli Atashinda kwa Asilimia zaidi ya 90%Hilo ndilo tatizo lenu kwamba wanaohudhuria mikutano ya wapinzani sio wapiga kura, ila wakihudhuria mikutano ya ccm wanakuwa wapiga kura that's pathetic.
Hao wapiga kura ambao hawahudhurii mikutano unajuaje kama ni wafuasi wa ccm?
Acha kuwaza kwa kutumia tumbo
Kwani saizi hao mabeberu hawajipimii, rejea viongozi wetu wastaafu wote wanamiliki rasilimali kwa uporaji au beberu sharti awe mzunguWEWE SEMA MABEBERU WAKISHINDA UCHAGUZI WATASHANGILIA SAANA KWA KUWA WATAJIPIMIA RASILIMALIZOTE ZA TAIFA. LISU HAWEZI SHINDA ATAKIDO. SISI CHAMA DOLA TUNAJUA MPINZANI WETU NI NANI, WALA SIO LISU ATA KIDOGO. ILA HIYO OCTOBER, MABEBERU TUTAWAGALAGAZA ASUBUHI SAANAA.
TUKO NA JPM SASA WEWE UNALETA HABARI ZA ZAMANII. SISI TUNAJEMADARI KIBOKO YA MABEBERU AMBAO NYIE MUMEINGIA MIKATABA YA KIHUNI, ETI WAWASAIDIE KUSHINDA URAISI ETI NANYIE MUWAPE WAJIPIMIE RASILIMALI ZOTE ZA INCHI. Watanzania sio mazwazwaa, walishawashitukia mapemaaKwani saizi hao mabeberu hawajipimii, rejea viongozi wetu wastaafu wote wanamiliki rasilimali kwa uporaji au beberu sharti awe mzungu