Uchaguzi 2020 Lissu akishinda urais, nchi italipuka kwa shangwe isiyo ya kawaida

Uchaguzi 2020 Lissu akishinda urais, nchi italipuka kwa shangwe isiyo ya kawaida

Tuliwaambia ccm mgombea wao hauziki hawakusikia, tunamshukuru Mungu kutuletea jiwe ili ccm ife. 2015 watz waliichoka ccm wanampenda mgombea wao, this time wamevichoka vyote ccm na mgombea wake muongo muongo, mwizi, fisadi, katili, roho mbaya, mbinafsi, mdini, mkanda, mkabila, anawaumiza watz ili apate furaha, anaegoma kumuabudu anabambikwa uhujumu. Amebomolea watu nyumba zao eti awakumchagua, anawakomoa wafanyakazi eti walimpigia kura Lowasa, anawatishia wapiga kura atawashughulikia wasipomchagulia awatakao.
October tuikomboe nchi yetu
 
Humu Jamiii Forum kuna watu Wanawaza Watu Wanaojaa Mikutanoni Ndio wapiga Kura Naomba niwaambie Wapiga Kura Wa Nchii wengi in watu wasiohudhuria Mikutano ingekuwa ivyo Lowassa na Dr Slaa wangeshachukua hii nchi kitambo.KWA HIYO MSIDANGANYIKE KWA IDADI YA MASHABIKI MTAJIUMIZA MIOYO MIMI NAMPIGIA KURA YANGU MAGUFULI KWA MARA YA KWANZA KWA SABABU KANISHAWISHI KWA UTENDAJI WAKE NA MWELEKEO ANAPOIPELEKA TANZANIA. ALIKUJA MWANZA NA SIKWENDA UWANJANI SO NILISHAAMUA HATA KABLA YA KUJUA NI LISSU AU MEMBE ATAKAE KUWA MPINZANI WA MAGU
Kwann hoja ya kujaza watu sio kigezo cha kura kwa Lisu tu?
 
Mapokezi anayopata Tundu lissu kila mahali anakopita ni ishara ya watu kuchoka na watu wamechoka kweli kweli wala siyo utani.

√Vijana wanalia na ukosefu wa ajira
√watumishi wanalia na nyongeza ya mishahara
√wastaafu wanalia na malipo yao ya uzeeni
√wajasiriamali wadogo wanalia na vitambulisho vya machinga
√wananchi wanalia ugumu wa maisha kutokana na mzunguko mdogo wa pesa mtaani
√ccm tunalia ila tumeamua kuwa wanafiki tusifukuzwe uanachama.

Ni vilio kila mahali. umefika wakati uvumilivu umekosekana; watu wameamua kuonyesha hisia zao kwa Lissu wakiamini ndiye mkombozi wao na hiyo ndio siri ya kupokelewa na kulakiwa kwa maelfu kila mahali.

Kwakuwa ni karibu kila mtu ameguswa na utawala huu; ikitokea H.E Magufuli ameanguka Urais. Siku hiyo kutazuka sherehe baab kubwa na ndio utakuwa mwanzo wa kuwajua wanafiki wake wa karibu waliokuwa wanamshauri vibaya.

Huenda andiko hili likatimia kwa sababu apangalo Mungu mwanadamu hawezi kupangua.
Time will tell
 
Kama unaamini Mungu amlisaidia Magufuli kupambana na corona ni lazima pia uamini kuwa Mungu alimponya Lissu risasi 16 ili aje kuwa Raisi wako 2020-2025
Lisu aipigwa magorori ya kuwindia ndege, angepigwa risasi halisi hata mungu angechoka kubakiza uhai wake.
 
Mapokezi anayopata Tundu lissu kila mahali anakopita ni ishara ya watu kuchoka na watu wamechoka kweli kweli wala siyo utani.

√Vijana wanalia na ukosefu wa ajira
√watumishi wanalia na nyongeza ya mishahara
√wastaafu wanalia na malipo yao ya uzeeni
√wajasiriamali wadogo wanalia na vitambulisho vya machinga
√wananchi wanalia ugumu wa maisha kutokana na mzunguko mdogo wa pesa mtaani
√ccm tunalia ila tumeamua kuwa wanafiki tusifukuzwe uanachama.

Ni vilio kila mahali. umefika wakati uvumilivu umekosekana; watu wameamua kuonyesha hisia zao kwa Lissu wakiamini ndiye mkombozi wao na hiyo ndio siri ya kupokelewa na kulakiwa kwa maelfu kila mahali.

Kwakuwa ni karibu kila mtu ameguswa na utawala huu; ikitokea H.E Magufuli ameanguka Urais. Siku hiyo kutazuka sherehe baab kubwa na ndio utakuwa mwanzo wa kuwajua wanafiki wake wa karibu waliokuwa wanamshauri vibaya.

Huenda andiko hili likatimia kwa sababu apangalo Mungu mwanadamu hawezi kupangua.
Ilikua zaidi ya hivi kwa Dr. Slaa, Lowasa ! Ahaa okay Mungu hakua amepanga kipindi hicho maana hata Mwingira kasema !
 
Mnyoa kiduku a.k.a chiba, atashinda humu Jamii forum. Na atakuwa Rais wa mioyo yenu.
Ila kwenye box la kura hawezi pata hata 20%. Hakuna asiyeona aliyofanya Magufuli. Tulio upande wa Magufuli ni wengi sana hatuna mbwembwe wala mihemuko. Tunasubiri 28oct, tunachukua, tunaweka, waa!
Kiduku anarudi kwao ubelgiji... Ataondoka kwa aibu!
 
Jiwe mwenyewe kaisha kata tamaa siku ya tano Leo hapigi kampeni .
IMG_20200926_233803.jpg
 
Jiwe kashafanya mikakati Jana na leo, ndio maana akasogeza mbele Kampeni za Iringa.

Kikao cha Jiwe na MaDed kimefanyika Dodoma Jana na Leo.

Wataiba kura na kuvuruga uchaguzi
Ole wao,wasijaribu sumu kwa kuionja.Watanzania tunataka mabadiliko kwa udi na uvumba,hakuna namna yoyote tutaruhusu wizi wa kura hata moja.Jiandaeni kisaikolojia kwa kuwa hatudanganyiki tena.
 
Yani Lisu ashinde urais?

Wa wasafi ama?
Kwa uchaguzi wa rais nchi hii kushinda ni jambo moja na kutangazwa ni jambo jingine kabisa.
Lissu anaweza na atashinda, shughuli pevu ipo kwenye kumtangaza. Hii tume ya CCM haiwezi kamwe kumtangaza Lissu mshindi.
Na mbaya zaidi ya yote ni uchaguzi wa rais kutokupingwa ktk mahakama yoyote hapa TZ. Hilo lipo kikatiba na ndiyo kasoro na udhaifu mkubwa wa katiba yetu ambao nyie MATAGA mnaufurahia sana. Ndiyo maana unatoa maneno ya kejeli maana unajua kitakachofanywa na tume.
 
Jiwe kashafanya mikakati Jana na leo, ndio maana akasogeza mbele Kampeni za Iringa.

Kikao cha Jiwe na MaDed kimefanyika Dodoma Jana na Leo.

Wataiba kura na kuvuruga uchaguzi
Hata maDED washachoka na ukoloni huu
 
Back
Top Bottom