Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe wasema. Mungu ameshasema, Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025 ni Tundu Antiphas Lissu
Naye ni beberu kakandamiza wananchi wengi wanyonge kwa manufaa yake pia ukimhoji juu yake upo hatarini kwa kawabambikizia kesi wangapi, ona rugemarira yuan wapTUKO NA JPM SASA WEWE UNALETA HABARI ZA ZAMANII. SISI TUNAJEMADARI KIBOKO YA MABEBERU AMBAO NYIE MUMEINGIA MIKATABA YA KIHUNI, ETI WAWASAIDIE KUSHINDA URAISI ETI NANYIE MUWAPE WAJIPIMIE RASILIMALI ZOTE ZA INCHI. Watanzania sio mazwazwaa, walishawashitukia mapemaa
Senegal, Ivory coast , Zambia , Malawi , Nigeria, walikuwa na viburi na imani kama wewe. Lakini wananchi waliwafundisha adabuHashindi sasa!
Umbwa nyieYani Lisu ashinde urais?
Wa wasafi ama?
Uliyekandamizwa ni wewe ndugu zako wote wametimuliwa kazini kwa vyeti feki.Naye ni beberu kakandamiza wananchi wengi wanyonge kwa manufaa yake pia ukimhoji juu yake upo hatarini kwa kawabambikizia kesi wangapi, ona rugemarira yuan wap
Kwahiyo wewe ni Mungu au tusubiri mwingine?Mapokezi anayopata Tundu lissu kila mahali anakopita ni ishara ya watu kuchoka na watu wamechoka kweli kweli wala siyo utani.
√Vijana wanalia na ukosefu wa ajira
√watumishi wanalia na nyongeza ya mishahara
√wastaafu wanalia na malipo yao ya uzeeni
√wajasiriamali wadogo wanalia na vitambulisho vya machinga
√wananchi wanalia ugumu wa maisha kutokana na mzunguko mdogo wa pesa mtaani
√ccm tunalia ila tumeamua kuwa wanafiki tusifukuzwe uanachama.
Ni vilio kila mahali. umefika wakati uvumilivu umekosekana; watu wameamua kuonyesha hisia zao kwa Lissu wakiamini ndiye mkombozi wao na hiyo ndio siri ya kupokelewa na kulakiwa kwa maelfu kila mahali.
Kwakuwa ni karibu kila mtu ameguswa na utawala huu; ikitokea H.E Magufuli ameanguka Urais. Siku hiyo kutazuka sherehe baab kubwa na ndio utakuwa mwanzo wa kuwajua wanafiki wake wa karibu waliokuwa wanamshauri vibaya.
Huenda andiko hili likatimia kwa sababu apangalo Mungu mwanadamu hawezi kupangua.
HATUKO TAYARI KUWAGAWIA MABEBERU TAIFA HILIII.HATA IWEJEEE.Walioko na wanaogombea CCM ni wasaka tonge tu wala hawana uchungu na WANANCHI na ndio maana wametuletea Sheria za ajabu sana za MAFAO wakati wenyewe washachukua chao ni UBINAFSI WA HALI YA JUU SANA. WOTE MBWA TUU.
huyo wenu zamu hii anatembea na WCB kila mahali kwenye mikutano kujenga mazingira ya kujiunga na wasafi baada ya uchaguzi maana hata kupiga ngoma na kucheza singeli yuko fiti kinomaYani Lisu ashinde urais?
Wa wasafi ama?
Mapokezi anayopata Tundu lissu kila mahali anakopita ni ishara ya watu kuchoka na watu wamechoka kweli kweli wala siyo utani.
√Vijana wanalia na ukosefu wa ajira
√watumishi wanalia na nyongeza ya mishahara
√wastaafu wanalia na malipo yao ya uzeeni
√wajasiriamali wadogo wanalia na vitambulisho vya machinga
√wananchi wanalia ugumu wa maisha kutokana na mzunguko mdogo wa pesa mtaani
√ccm tunalia ila tumeamua kuwa wanafiki tusifukuzwe uanachama.
Ni vilio kila mahali. umefika wakati uvumilivu umekosekana; watu wameamua kuonyesha hisia zao kwa Lissu wakiamini ndiye mkombozi wao na hiyo ndio siri ya kupokelewa na kulakiwa kwa maelfu kila mahali.
Kwakuwa ni karibu kila mtu ameguswa na utawala huu; ikitokea H.E Magufuli ameanguka Urais. Siku hiyo kutazuka sherehe baab kubwa na ndio utakuwa mwanzo wa kuwajua wanafiki wake wa karibu waliokuwa wanamshauri vibaya.
Huenda andiko hili likatimia kwa sababu apangalo Mungu mwanadamu hawezi kupangua.
Humu Jamiii Forum kuna watu Wanawaza Watu Wanaojaa Mikutanoni Ndio wapiga Kura Naomba niwaambie Wapiga Kura Wa Nchii wengi in watu wasiohudhuria Mikutano ingekuwa ivyo Lowassa na Dr Slaa wangeshachukua hii nchi kitambo.KWA HIYO MSIDANGANYIKE KWA IDADI YA MASHABIKI MTAJIUMIZA MIOYO MIMI NAMPIGIA KURA YANGU MAGUFULI KWA MARA YA KWANZA KWA SABABU KANISHAWISHI KWA UTENDAJI WAKE NA MWELEKEO ANAPOIPELEKA TANZANIA. ALIKUJA MWANZA NA SIKWENDA UWANJANI SO NILISHAAMUA HATA KABLA YA KUJUA NI LISSU AU MEMBE ATAKAE KUWA MPINZANI WA MAGU
Hahaha Na Kwa Lissu haya ndio yatakuwa MatokeoooNani amekwambia Lowasa hakushinda tatizo tume haikumtangaza, unadhania kwanini jambo la kwanza Rais alipiga marufuku mikutano ya kisiasa ili kudhibiti kusitokee maandamano ya kumpinga
Tutakuwa tumepata uhuru kwa mara ya pili.Mapokezi anayopata Tundu lissu kila mahali anakopita ni ishara ya watu kuchoka na watu wamechoka kweli kweli wala siyo utani.
√Vijana wanalia na ukosefu wa ajira
√watumishi wanalia na nyongeza ya mishahara
√wastaafu wanalia na malipo yao ya uzeeni
√wajasiriamali wadogo wanalia na vitambulisho vya machinga
√wananchi wanalia ugumu wa maisha kutokana na mzunguko mdogo wa pesa mtaani
√ccm tunalia ila tumeamua kuwa wanafiki tusifukuzwe uanachama.
Ni vilio kila mahali. umefika wakati uvumilivu umekosekana; watu wameamua kuonyesha hisia zao kwa Lissu wakiamini ndiye mkombozi wao na hiyo ndio siri ya kupokelewa na kulakiwa kwa maelfu kila mahali.
Kwakuwa ni karibu kila mtu ameguswa na utawala huu; ikitokea H.E Magufuli ameanguka Urais. Siku hiyo kutazuka sherehe baab kubwa na ndio utakuwa mwanzo wa kuwajua wanafiki wake wa karibu waliokuwa wanamshauri vibaya.
Huenda andiko hili likatimia kwa sababu apangalo Mungu mwanadamu hawezi kupangua.
Thubutu. ..kwa sasa ni ubabe juu ya ubabe.....tia nondo natia ugoko.Hahaha Na Kwa Lissu haya ndio yatakuwa Matokeooo
Alishinda Kifo hukuelewa maana ya risasi 36 ambazo tuli hesabiwa na wapita njia(maana mpaka leo Polisi hawajatoa takwimu ya no of bullet)Yani Lisu ashinde urais?
Wa wasafi ama?
Itakuwa ni sikukuu tutakoyo iadhimisha kila mwaka itaitwa LISSU DAY.Itakuwa ni zaidi ya sikukuu zote zinazotambulika na watanzania
Kama unaamini Mungu amlisaidia Magufuli kupambana na corona ni lazima pia uamini kuwa Mungu alimponya Lissu risasi 16 ili aje kuwa Raisi wako 2020-2025Haitawezekana hata kwa mfano, Tundu lisu ni mchafuzi tu wa mazingira,
Kwa sasa alitakiwa aombe udiwani.
Mtandao wa MunguLisu ni wa mtandaoni