Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Kama isingekuwa hivyo wala msingehangaika kusomba watu kwa malori!Humu Jamiii Forum kuna watu Wanawaza Watu Wanaojaa Mikutanoni Ndio wapiga Kura Naomba niwaambie Wapiga Kura Wa Nchii wengi in watu wasiohudhuria Mikutano ingekuwa ivyo Lowassa na Dr Slaa wangeshachukua hii nchi kitambo.KWA HIYO MSIDANGANYIKE KWA IDADI YA MASHABIKI MTAJIUMIZA MIOYO MIMI NAMPIGIA KURA YANGU MAGUFULI KWA MARA YA KWANZA KWA SABABU KANISHAWISHI KWA UTENDAJI WAKE NA MWELEKEO ANAPOIPELEKA TANZANIA. ALIKUJA MWANZA NA SIKWENDA UWANJANI SO NILISHAAMUA HATA KABLA YA KUJUA NI LISSU AU MEMBE ATAKAE KUWA MPINZANI WA MAGU