Sasa wewe hapa unabwabwaja kitu gani, mbona hueleweki?Infact and to be truth,"angalieni tena upya baadhi ya vipingele,rais kwenda kuomba kwa mwekezaji ili kutekeleza hata miradi ya watu wake si sawa,endapo kama ni kweli kipo kipengele hicho Ndani ya mkataba"
Unapanic nini? Jamaa tumemuelewa na ujumbe wake umefika vyema.Sasa wewe hapa unabwabwaja kitu gani, mbona hueleweki?
Hiyo lugha ya "in fact and to be truth" ni lugha gani hiyo. Ulilazimishwa kutumia lugha usiyoijua...
"Kimtazamo na niwe mkweli"Sasa wewe hapa unabwabwaja kitu gani, mbona hueleweki?
Hiyo lugha ya "in fact and to be truth" ni lugha gani hiyo. Ulilazimishwa kutumia lugha usiyoijua...
Baadhi ya viongozi wakuu wa CCM kwa kujua ama kutokujua, waliona fahari sana "covertly" kupewa vijizawadi na hata kutendewa hisani za hapa na pale. Matokeo yake ndiyo hayo, wameingizwa katika 18 za Muarabu kimaudhui katika makubaliano na mkataba wenyewe.Ni kuhusu kipengele cha mkataba kinachosema Rais akitaka kujenga chochote karibu na maeneo ya DP World kama vile hospitali karibia na bandari ya Isaka basi atatakiwa kwanza kuomba kibali cha DP World. Wakati Rais huwa ndio anaeombwa ardhi...
Hata Nape mwenyewe anaona ni matope ila kwakuwa ana njaa lazima aseme tofautiHaya Waziri Nape, pitisheni kipira mkamate wananchi wote walioitikia matopeeeeeee!
Sisi wengine wenye akili huru tumemuelewa. Ningeshangaa sana kama na wewe mtumwa wa Waarabu ungemuelewaSasa wewe hapa unabwabwaja kitu gani, mbona hueleweki?
Hiyo lugha ya "in fact and to be truth" ni lugha gani hiyo. Ulilazimishwa kutumia lugha usiyoijua?
Kwanza haiongezi chochote cha maana katika uliyoandika baada ya maneno hayo.
"...rais kwenda kuomba kwa mwekezaji ili kutekeleza hata miradi ya watu wake..." Ni vipengele gani hivyo unavyozungumzia wewe. "Miradi ya watu wake". Watu wake ni akina nani hao, shemeji zake huyo rais?
Uandishi wa hovyo sana huu unaoonyesha upungufu mkubwa katika mfumo wa elimu yetu.
Ni MTU wa kupenda haki Ndio Maana hakufaKulikuwa na sababu kwamba Mungu Alimwokoa huyu kamanda na yale marisasi. Ni jasiri sana na haogopi. Na hakuna silaha hapa duniani ambayo inaweza kumshinda mtu ambaye haogopi cho chote kikiwemo kifo.
TL ni hazina kubwa kwa taifa hili. Mungu Amtunze ππΏππΏππΏ
Ndio unazinduka sasa.Infact and to be truth,"angalieni tena upya baadhi ya vipingele,rais kwenda kuomba kwa mwekezaji ili kutekeleza hata miradi ya watu wake si sawa,endapo kama ni kweli kipo kipengele hicho Ndani ya mkataba"
Yaani unampangisha mtu nyumba yako kwa mkataba ambao ukitaka kufanya kitu unamomba mpangaji ruhusu , sijawahi kuna popote ni matope tena matope kweli kweli.Ni kuhusu kipengele cha mkataba kinachosema Rais akitaka kujenga chochote karibu na maeneo ya DP World kama vile hospitali karibia na bandari ya Isaka basi atatakiwa kwanza kuomba kibali cha DP World. Wakati Rais huwa ndio anaeombwa ardhi, sio yeye kuomba.
Tundu akauliza hii ni akili au matope? Wananchi wakaitikia "Matopeeeeeeee....."
Haya Waziri Nape, pitisheni kipira mkamate wananchi wote walioitikia matopeeeeeee!
Masikini Crocodiletooth...Masikini Tanzania...in fact and to be truth, wow! Halafu ukute eti wewe ndio unapitia hivyo vipingele, utaelewa kitu kweli?Infact and to be truth,"angalieni tena upya baadhi ya vipingele,
Na ukishafanya hivyo huna haki yoyote ile ya kumpa tena masharti kwani tayari wewe ni mtumwa. Kila hitaji lako lazima utatakiwa kuomba kibali.rais kwenda kuomba kwa mwekezaji ili kutekeleza hata miradi ya watu wake si sawa,
Kwa uwezo wako kilugha, hata kama kipengele hicho kipo huwezi kukiona. In fact and to be truth imekuumbua uwezo wako...hebu epuka mijadala ya aina hii, ukimya wako pekee utakusetiri!...endapo kama ni kweli kipo kipengele hicho Ndani ya mkataba"