Kulikuwa na sababu kwamba Mungu Alimwokoa huyu kamanda na yale marisasi. Ni jasiri sana na haogopi. Na hakuna silaha hapa duniani ambayo inaweza kumshinda mtu ambaye haogopi cho chote kikiwemo kifo (cf. Wamarekani vs. Mataliban)
TL ni hazina kubwa kwa taifa hili. Mungu Amtunze ππΏππΏππΏ