Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Kiingereza ni lugha ya wageni,ningekikosea kiswahili ningestaajabisha sana.Mnang'ang'ana na lugha ngeni na hamuiwezi,hapa unawasiliana na waswahili wenzio,viingereza vya nini!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiingereza ni lugha ya wageni,ningekikosea kiswahili ningestaajabisha sana.Mnang'ang'ana na lugha ngeni na hamuiwezi,hapa unawasiliana na waswahili wenzio,viingereza vya nini!?
Ukishaelewa nilichomaanisha inatosha,HII ni lugha ya wageni SI ya MSINGI sana uiongee kwa usahihi.Hiyo ingepaswa iwe hivi: "My perspective, and to be truthfull", au maneno ya aina hiyo mengine, siyo hayo ulivyoyatumia.
Nimemaanisha kiingereza Cha nini katikati ya waswahili!?Kiingereza ni lugha ya wageni,ningekikosea kiswahili ningestaajabisha sana.
naona umepoteza kabisa msingi wa niliyo andika kukujibu kwa mara ya kwanza kabisa.Ukishaelewa nilichomaanisha inatosha,HII ni lugha ya wageni SI ya MSINGI sana uiongee kwa usahihi.
Ulivyo mjinga hutajitambua milele kama huo mkataba wenuAngalia kiazi hiki hapa, kakutuma umsemee?
Hopeless.
Wewe ni kiazi mbatata, usinipotezee muda hapa.Ulivyo mjinga hutajitambua milele kama huo mkataba wenu
Jamaa anatusaidia snKulikuwa na sababu kwamba Mungu Alimwokoa huyu kamanda na yale marisasi. Ni jasiri sana na haogopi. Na hakuna silaha hapa duniani ambayo inaweza kumshinda mtu ambaye haogopi cho chote kikiwemo kifo (cf. Wamarekani vs. Mataliban)
TL ni hazina kubwa kwa taifa hili. Mungu Amtunze 🙏🏿🙏🏿🙏🏿