aliamshe dude lakini asisahau kuwa Tanzania ya Rais Samia Suluhu tunafanya siasa za kistaarabuTundu Lissu, njoo uliamshe dude
Acha kujisahaulisha umesahau kuhusu watu wasiojulikana? matukio yalikuwa yanapishana kila siku ukiachilia mbali waandishi wa habari kuuwawa pia roma kutekwa yani ilikua tafrani lakini toka Rais Samia Suluhu aingie madaraka matukio ya ajabu yameisha kabisa uhuru wa vyombo vya habari vimerejea pia democrasia imerejeaKwani Tanzania iliwahi KUKOSA amani tangu liniii?? Mbona alikuja kupiga kampeni kiriho safiii, na baaada ya kugaragazwa asubuhi akarudi huko tena
Kurudi kwao kunaashilia kuwa Tanzania ni salama na Rais Samia Suluhu so its better warudi nchini maana hata democrasia imerejeaWaocwarudi watulize mishipa wapambanie maisha na siku zisonge,hakuna mtu ana attention nao ki viile zaidi ya hapo hapo Ufipa sthtreets.
Watanzania wa sasa walifunguka macho bado masikio tu.
Kweli Tanzania aikuwai kosa amani hila kwetu sisi mimi na wewe lakini sio kwa lissu chupuchupu apoteze maisha Suala la amani mi naona dunia nzima ni suala la mtu personal nchi inaweza ikawa na amani hila kuna wananchi wake baadhi awana amani kabisaaaKwani Tanzania iliwahi KUKOSA amani tangu liniii?? Mbona alikuja kupiga kampeni kiriho safiii, na baaada ya kugaragazwa asubuhi akarudi huko tena
Wataje wewe Sasa hao watuAcha kujisahaulisha umesahau kuhusu watu wasiojulikana? matukio yalikuwa yanapishana kila siku ukiachilia mbali waandishi wa habari kuuwawa pia roma kutekwa yani ilikua tafrani lakini toka Rais Samia Suluhu aingie madaraka matukio ya ajabu yameisha kabisa uhuru wa vyombo vya habari vimerejea pia democrasia imerejea
Kwa hiyo chupuchupu yake ndoo Tanzania Haina amaniiKweli Tanzania aikuwai kosa amani hila kwetu sisi mimi na wewe lakini sio kwa lissu chupuchupu apoteze maisha Suala la amani mi naona dunia nzima ni suala la mtu personal nchi inaweza ikawa na amani hila kuna wananchi wake baadhi awana amani kabisaaa
Kwake aina amani kwan wew unaonaje?Kwa hiyo chupuchupu yake ndoo Tanzania Haina amanii
Si unaona sasa mtu ajafika ata bongo tanpol wameanza kumtamani kumfanyia vitendo vya kumvunjia amani hiyo amani unayoisema wewe iko wap ndugu?Kwa hiyo chupuchupu yake ndoo Tanzania Haina amanii