Leo nimemwona Lissu akitoka kwa jaji kusainisha makabrasha ya uteuzi, na kasema ameshakamilisha, sasa hao wadhamini wa Zanzibar kawapataje na lini?
Huko mbona hakwenda kuziba barabara na matarumbeta? Kwa ratiba yake leo alipaswa kuwa Pwani na Kesho Zanzibar kahepa sio?
Kesho tukimwona barabarani atakuwa nafanya maandamano haramu sio, kwani wadhamini keshapata. Eti kasema kazunguka mikoa yote kasoro sita.
Nimuulize ameonaje miundombinu? Kazunguka nchi nzima bila kukanyaga barabara ya vumbi lami mwanzo mwisho namwomba aseme "hongera JPM kwa kazi nzuri".