guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,758
Owky
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio zenye wapigaji
Kunywa soda nitajalipa nikikuta mtu anaongea na mishipa inamkauka huwa namfikiria nimuweke fungulipi nashindwa kabisaHizo lami kila serikali itajenga na inatakiwa ijenge maana pesa ni za wananchi sio za viongozi.
Ila afadhali yake yeye Lissu kajaribu kwenda mikoani kusaka wadhamini, wengine walioenda kusaka wadhamini ni akina nani ambao uliwaona huko mikoani.Leo nimemwona Lissu akitoka kwa jaji kusainisha makabrasha ya uteuzi, na kasema ameshakamilisha, sasaa hao wadhamini wa Zanzibar kawapataje na lini?...
Hizo lami meko amejenga Kwa hela za mama ako?Leo nimemwona Lissu akitoka kwa jaji kusainisha makabrasha ya uteuzi, na kasema ameshakamilisha, sasaa hao wadhamini wa Zanzibar kawapataje na lini?...
Wajinga mko wengi sana kwenye nchi hii miundombinu kwamba magu anatoa kwenye mfuko wake kujenga miu ndombinu?Leo nimemwona Lissu akitoka kwa jaji kusainisha makabrasha ya uteuzi, na kasema ameshakamilisha, sasaa hao wadhamini wa Zanzibar kawapataje na lini?...
Mkui akikujibu nitagKwani Magufuli kaenda wapi kuchukua wadhamini ?
Mkuu hayo waachie CHADEMA wenyewe, huku tunapanga mikakati ya goli la mkono tena mwaka huu. Pia ni jukumu na wajibu wa serikali kuyafanya yote hayo na tena wafanye zaidi ya hayo.hawa walioshindwa kujenga ofisi za chama lami ndio wataweza? kazunguka na Benz nchi nzima na haukupata pancha,
Uvue samaki?Ngoja nivue nione
Si lazima afike kila kona ya nchi, fomu zinaweza kutembezwa na wawakilishi wake badala yake. Wewe umemuona jiwe akitembea kila mkoa kutafuta wadhamini?Leo nimemwona Lissu akitoka kwa jaji kusainisha makabrasha ya uteuzi, na kasema ameshakamilisha, sasaa hao wadhamini wa Zanzibar kawapataje na lini?..
Mtoa mada anataka kutuambia kuwa ili iitwe ofisi ni lazima jengo wajenge mwenyewe, wakipanga jengo la mwingine hiyo si ofisi linabaki kuwa jengo tu. Basi tuliite jengo la ofisi ya CDMhawana ofisi nyaraka zao wanatunzia kwako?
Kadanyiwa kazi na Shikamoo mzee..maalim Seif je bado unaswali nyie mmenda wapi. Au aliyewapa kuku ndio kawadhaminiLeo nimemwona Lissu akitoka kwa jaji kusainisha makabrasha ya uteuzi, na kasema ameshakamilisha, sasaa hao wadhamini wa Zanzibar kawapataje na lini?...
Kama ulivyo wewe tapeli wa mapenziAende Zanzibar ili awafungue macho wikina Amsterdarm na mabeberu wengine kuwa hakubaliki.? Jamaa ni mjanjanja flani hivi. Tafuta clip ya Patrobas Katambi ndio utalielewa vizuri hili tapeli la kisiasa..
Hoja za kibwege sana hizi.Nitakupa mifano ya makampuni,Nikehawa walioshindwa kujenga ofisi za chama lami ndio wataweza? kazunguka na Benz nchi nzima na haukupata pancha,
mataga wamepagawa soon tunainua matanga lissu kaishamaliza kazi.Hizo lami kila serikali itajenga na inatakiwa ijenge maana pesa ni za wananchi sio za viongozi.
hao wananchi waliokuwa wanamfuata wameshindwa kuyaona wakamfuata yeye awakomboe yeye atayaona vipi.Alikozunguka ameona yaliyofanywa na awamu ya tano sasa anaona aibu alichosema huko Ugaibuni
Yaliyofanywa Yapi? Kujengwa Chato International Airport?Alikozunguka ameona yaliyofanywa na awamu ya tano sasa anaona aibu alichosema huko Ugaibuni