Uchaguzi 2020 Lissu akwepa kwenda Zanzibar, hao wadhamini kawapataje?

Uchaguzi 2020 Lissu akwepa kwenda Zanzibar, hao wadhamini kawapataje?

Leo nimemwona Lissu akitoka kwa jaji kusainisha makabrasha ya uteuzi, na kasema ameshakamilisha, sasaa hao wadhamini wa Zanzibar kawapataje na lini?...
Wewe ndie una chemka. Lissu alikwenda Zanzibar
 
Leo nimemwona Lissu akitoka kwa jaji kusainisha makabrasha ya uteuzi, na kasema ameshakamilisha, sasaa hao wadhamini wa Zanzibar kawapataje na lini?...
Ni Kodi yake imefanya kazi, siyo fadhila au zawadi. Hastahili kushukuru kwani kilichofanyika ulikuwa ndo wajibu was serikali. Kwanza ilitakiwa kufanya zaidi.
 
Aende Zanzibar ili awafungue macho wikina Amsterdarm na mabeberu wengine kuwa hakubaliki? Jamaa ni mjanjanja flani hivi. Tafuta clip ya Patrobas Katambi ndio utalielewa vizuri hili tapeli la kisiasa..
 
Leo nimemwona Lissu akitoka kwa jaji kusainisha makabrasha ya uteuzi, na kasema ameshakamilisha, sasaa hao wadhamini wa Zanzibar kawapataje na lini?...
Wewe kweli huna akili badala ya kumuuliza yeye mwenyewe au Jaji aliyemwapisha, unatuuliza sisi wa JamiiForums. Zanzibar yote inazungukwa kwa masaa tu, ondoa unaa.
 
Aende Zanzibar ili awafungue macho wikina Amsterdarm na mabeberu wengine kuwa hakubaliki.? Jamaa ni mjanjanja flani hivi. Tafuta clip ya Patrobas Katambi ndio utalielewa vizuri hili tapeli la kisiasa..
Yani reference yako ni hill karai ambalo tunaenda kuligaragaza ili liendelee na kumuibia mamake hela za kusitaafu uwalimu.
 
Wewe hizo of is zimekusaidia nin ngoja lissu achukue usukani mtatueleza mlizipataje otherwise zitakuwa nationalised
ccm wana laana. ofisi zijengwe na watanzania wenyewe wamejimilikisha. wajinga wengi huko lumumba
 
Leo nimemwona Lissu akitoka kwa jaji kusainisha makabrasha ya uteuzi, na kasema ameshakamilisha, sasaa hao wadhamini wa Zanzibar kawapataje na lini?...

Kwani Magufuli alienda wapi kutafuta wadhamini? Si alibaki Ikulu huku fomu ikizungushwa na wengine. Mshukuru Lissu kwamba yeye mwenyewe amezunguka mikoa mingi bila kupumzika kutafuta wadhamini.

Siyo lazima afike Zanzibar. Muda hauruhusu. Wajaze tu fomu. Watamona wakati wa kampeni. Kuna siku 60. Atawafikia.
 
Yani reference yako ni hill karai ambalo tunaenda kuligaragaza ili liendelee na kumuibia mamake hela za kusitaafu uwalimu.

Ndio mgombea wa Shinyanga Njini huyo. Limeshinda simtank la lita 10,000. CCM ya JPM lazima uipende. Karai ni Lissu na Mbowe na genge lao kama walizunguka naye Ulaya yote kwa mabeberu bila ya kumstukia wewe unafikiri karai ni nani?
 
Leo nimemwona Lissu akitoka kwa jaji kusainisha makabrasha ya uteuzi, na kasema ameshakamilisha, sasaa hao wadhamini wa Zanzibar kawapataje na lini?...
Lami zilikuwepo toka enzi za kikwete wewe, pia unajua kuwa JPM kashamaliza suala la wadhamini jiulize hiyo mikoa kafikaje wakati deile yupo Dom
 
Lami zilikuwepo toka enzi za kikwete wewe, pia unajua kuwa JOM kashamaliza suala la wadhamini jiulize hiyo mikoa kafikaje wakati deile yupo Dom
Lisu kule sokoni Tarime na njiapanda kule Mwanjelwa alikuwa anafanya nini?
 
Siyo lazima kufika physically kila mkoa. Waweza saidiwa na team yako kuzifikisha kwa wadhamini.

Tafuta lingine. Mtahangaika sana
 
hawa walioshindwa kujenga ofisi za chama lami ndio wataweza? kazunguka na Benz nchi nzima na haukupata pancha,
Mkuu ccm wanaofisi nzuri kila Kijiji,kila wilaya,mkoa na taifa,tusaidie,hizo ofisi zimechangia vipi kwenye ujenzi wa barabara zetu au kwenye kuongeza kipato cha mwanaccm achilia mbali mtanzania
 
Zanzibar ni koloni letu, tumetoa maagizo wadhamini wanajitokeza.
 
Kwani Magufuli kaenda wapi kuchukua wadhamini ?
Kazi hiyo inaweza kufanywa hata na wenyeviti au makatibu wa wilaya wa chama. Lakini kama mgombea wenu ana kiherehere anaweza kwenda mwenyewe
 
Leo nimemwona Lissu akitoka kwa jaji kusainisha makabrasha ya uteuzi, na kasema ameshakamilisha, sasaa hao wadhamini wa Zanzibar kawapataje na lini?...
Kachukua hapo lumumba ccm
 
Mbona unaumia sana na lisu kwani mbona humtaji jiwe yy hakwenda lipumba Hashim mzee wa ubwabwa cck UDP wote hawakwenda unadili na lisu kama aliyekuzalisha njee ikawa hakuketeei huduma ya mtoto kila wakati una mtaja taja
 
Back
Top Bottom